charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 6,000
Bila shaka mkuu si unajua ni ile mtu unajua siku zake na haikutokea bahati mbaya tulipanga na clinic tulianza kwenda sote mwanzo mwisho kama haitoshi nilimpa hii kitu tukiwa hotelini maana siku ya kumi toka aingie kwenye siku zake nilikaa nae hotelini hadi siku ya kumi na sita tukaenda kukaa kwangu kama haitoshi baada ya 28 days akiwa kwangu hakuona siku tukapima mkuu sasa hapo ntashindwa kuamini ni yangu kweli?
dah ilo li manzi lako litakua halijielew! Hv unaanzaje kuolewa huku una mimba ya mtu mwngne! Hv ni dhamira inakua imekufa ama?dah subr mkuu mtoto atakujaga kukutafta! Kp calm ulelewe mimba!