Kaolewa na mimba yangu

Kaolewa na mimba yangu

Ubwe.ge huu..

Kama ni mimba yako si ukaichukue?
 
Mpenzi wangu kaolewa jamani na jamaa kisa sijui huku ana ujauzito wangu wa miezi sita mwanaume kaambiwa anadai yeye atalea mtoto, Hivi hapa kweli sina haki jamani? naipataje haki jamani? ahadi ya kumuoa nilimpa muda ndio ulikua bado!!!!!!!!

Hiyo siyo mimba yako mkuu. Uliingizwa choo cha kike.
 
Kuna nini kinaendelea hapa besti...naona chenga tu..

Jamaa alikuwa anachakachua kitambo mno. Alipiweka kitu ndo bidada akafanya maamuzi magumu ya kukubwaga. Niamini Mie dadako bwana, acha ubishi.
 
Ubwe.ge huu..

Kama ni mimba yako si ukaichukue?

Huko Sumbawanga 'mvulana' aking'ang'ania tu kuwa mimba iliyopo kwa binti ni yake, basi wazee wanafanya ya kufanya ule ujauzito unahamishiwa kwa 'mvulana'...
 
huwezi kuidai mimba labda mtoto..wewe subiri mtoto afike miaka 2 ukapime DNA...unaweza kukuta sio mtoto wako wala wa huyo mume wake..
 
Mpenzi wangu kaolewa jamani na jamaa kisa sijui huku ana ujauzito wangu wa miezi sita mwanaume kaambiwa anadai yeye atalea mtoto, Hivi hapa kweli sina haki jamani? naipataje haki jamani? ahadi ya kumuoa nilimpa muda ndio ulikua bado!!!!!!!!

haki itapatikana pale utakapothibitisha uwezo wa kulea mtoto kwa kumpa basic needs zote na mahitaji mengine..

otherwise, mtoto hatokuwa wako...
 
hujambo toto la kiarabu?lol!hata wanawake hawajuagi mwenye mimba ni nani labda kama alikuwa ana-du na mtu mmoja tu!wanachofanya wanawake ni either kupiga ana ana ana doo au kuchagua baba wa mtoto ni mwenye hela au aliye tayari kuoa haraka

Ndio nakuambia siri anaijua mama ni wachache ambao hawajui na hawana akili piaa
Sijambo mie
 
ish watu wanaingizwa labor na watoto wanakuwa sio wao sembeuse we kuenda nae clinic tu!
ehehhehheehhheh!
 
Mpenzi wangu kaolewa
jamani na jamaa kisa sijui huku ana ujauzito wangu wa miezi sita
mwanaume kaambiwa anadai yeye atalea mtoto, Hivi hapa kweli sina haki
jamani? naipataje haki jamani? ahadi ya kumuoa nilimpa muda ndio ulikua
bado!!!!!!!!

wallet yako inasoma kweli?
 
koma! km mda wa kuoa ulikua bado mimba ulimpa ya nini? kalagha bao acha waoaji wakutinzie. na mjamzito anavyokua mtamu atamfaidije?????????
 
Ndio nakuambia siri anaijua mama ni wachache ambao hawajui na hawana akili piaa
Sijambo mie

ishu ya ku-conceive iko complicated sana D,wewe upo ktk ndoa?una watoto?wiki unayodhani uli-conceive ulifanya tendo mara ngapi?did u consider siku ya kwanza ktk wiki ile ndio uliyopata mimba kama ulifanya tendo mara nyingi ktk wiki hiyo?unajua ktk wiki ya hatari inawezekana ukafanya leo na kesho lakini uka-conceive tendo la kesho?or kama ulifanya mapenzi mara nyingi ndani ya wiki hiyo can u spot exaCTLY siku ambayo mimba ndio iliingia?sasa fikiria kwa mtu ambaye atakuwa amefanya mara nyingi na watu wengi unadhani uhakika wake wa ya nani ndio iliingia unadhani ni mkubwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom