Bila shaka mkuu si unajua ni ile mtu unajua siku zake na haikutokea bahati mbaya tulipanga na clinic tulianza kwenda sote mwanzo mwisho kama haitoshi nilimpa hii kitu tukiwa hotelini maana siku ya kumi toka aingie kwenye siku zake nilikaa nae hotelini hadi siku ya kumi na sita tukaenda kukaa kwangu kama haitoshi baada ya 28 days akiwa kwangu hakuona siku tukapima mkuu sasa hapo ntashindwa kuamini ni yangu kweli?
unamaanisha hatakuwa mwanangu kisa kaolewa? nah sikubali that is afresh of my fresh!!!!!!!!
Unajuaje ni yako, inaweza isiwe yenu wote na huyo bwana harusi....
tulieni tu!!!
unamaanisha hatakuwa mwanangu kisa kaolewa? nah sikubali that is afresh of my fresh!!!!!!!!
tena tango pori lililooza.....Afu yawezakua tango pori ati!!!!!!!!!!!
kwao sijaenda ila clinic tumeenda sana tu!!!!!!!!!!
hivi mkuu una uzoefu wa utunzi wa vitabu vya hadithi?
inaumaaaaa!yani hapa nawaza kuolewa si mwanamke kuchukuliwa na mwanaume na kwenda kuishi naye?sasa wewe mwanamke wako kaolewa,huku ana mimba yako,mimba yako nayo imeolewa si jamaa anaenda kuishi nayo?na kwenye hiyo mimba kuna mwanao......dah,inaumaaaaaaaa!pole
Mpenzi wangu kaolewa jamani na jamaa kisa sijui huku ana ujauzito wangu wa miezi sita mwanaume kaambiwa anadai yeye atalea mtoto, Hivi hapa kweli sina haki jamani? naipataje haki jamani? ahadi ya kumuoa nilimpa muda ndio ulikua bado!!!!!!!!
kwao sijaenda ila clinic tumeenda sana tu!!!!!!!!!!
unamaanisha hatakuwa mwanangu kisa kaolewa? nah sikubali that is afresh of my fresh!!!!!!!!
kwao sijaenda ila clinic tumeenda sana tu!!!!!!!!!!
Anaejua mimba ni ya nani ni mwanamke,,haiwezekani ana mimba yako halaf akaolewe kwingine,..