Kuna kitu kinaniambia kuwa ipo siku hizi picha zitatumika dhidi ya Kanye West maana hakuna mtu kichwa kizito kama kanye, washamblock sehemu nyingi ila anapita, hizi sexual things ndio huwa zinawakamata sana black billionaires na ninahisi ndipo atakamatiwa hapo