Kanusho: Aliyepigwa na Ndugai afariki dunia!

Kanusho: Aliyepigwa na Ndugai afariki dunia!

Status
Not open for further replies.
akanyee debe Ndugai,....masela tu tunamsuburi.....huyo wangu huyo..nina ukame kinomer...
 
Baba wa mbinguni, angalia nchi yetu ya,Tanzania na uinisuru na,uvunjifu wa amani. weww uliye mfalme wa amani tawala.
 
Habari wanabodi

Taarifa zinazoendelea kusambazwa na mitanda balimbali kutoka eneo la tukio ni kwamba Yule aliyepigwa na Job Ndugai mapema leo amefariki dunia!

Hata kama hajaua but kumpiga mtu mpaka akazimia ni kosa la "kushambulia na kuhatarisha uhai wa mtu"anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria!
 
Yaani na wewe bado unasambaza uvumi mitandaoni? wacha uwongo buana
 
wameanza kumwagana damu, sisi tunajimwagia asali tutalamba kila kitu oct 25
 
Hizi habari zipo humu kwa zaidi ya lisaa limoja.. Ni vizuri sasa kama zingekuwa confirmed kama ni rumours au ni kweli.. Maana nilivyoona breakingi news hapa nikadhani mleta uzi amepata uhakika kumbe na huyu nae ameziokota mitandaoni..
 
😨😨😨😨🏃🏃🏃🏃🔨🔨🔫🔫🔫🔫✂✂✂✂👐👐👐💇💇💇🏃🏃🏃🏃🏃
 
Duh, mkuu nakushauri kama unaeneza kwa tetesi uuondoe huu uzi mpaka kuwe na uhakika!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom