Kanusha kwamba CCM si wezi

Kanusha kwamba CCM si wezi

Hivi mbona karibu kwenye kila scandal Anduru Chenga anahusika?

Huyo ni master wa maadili yote ndo anayejua michango yote ya na jinsi ya kuandaa nyaraka feki
CONSULTATION fees 1 usd ~1.6b
 
Huo ni upotoshaji kwakuwa haujui nini mamaana ya ccm. CCM ni mimi na mwingine sasa huu wizi unanihusuje mimi wa chini? Naamini CCM chama imara
 
kanunusha kuwa ccm imejenga barabara mahospitali madaraja na nk

Zimejengwa na makandarasi na mafundi na fedha zilizotumika ni za walipa kodi sio za CCM. Nadhani umeelewa sasa.
 
Sio wezi, wanaanda tuu wadanganyika kujitambua, mkitaka kujua ni wezi wachagueni tena 2015.


Sio wezi jamani,hawa ni majambazi sugu ati.2015 mkiwarudisha msishangae wataanza kuvamia/kuvunja nyumba zetu maana hawana cha kuiba tena sababu serikali inafilisika
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom