Acheni kujidanganya.
Acheni kujidanganya.
kanunusha kuwa ccm imejenga barabara mahospitali madaraja na nk
Kwa sakata hili la Escrow, Epa, Richmond na mengine mengi. Nani anaweza kujitokeza, tena kifua mbele na kukanusha kuwa CCM si genge la wezi?
Acheni kujidanganya.
Kwa sakata hili la Escrow, Epa, Richmond na mengine mengi. Nani anaweza kujitokeza, tena kifua mbele na kukanusha kuwa CCM si genge la wezi?
Acheni kujidanganya.
CCM sio wezi hata kidogo, wanachukua return ya investment zao. Kwa sababu wakati wa uchaguzi waliwanunulie T-Shits, Vitenge, Kanga pamoja na vitakrima vidogodogo; na mkawachagua. Sasa c ndo wanachukua faida yao ili wajipango na uchaguzi ujao?
MI NAONA TUNAZINGUA TU, WANAJADILI NINI WAKATI REPORT ZIKO WAZI, UTASIKIA MUHESHIMIWA FLANI KAJIUZULU....., HAPO INATAKIWA WAKAMATWE WOTE WALIOHUSIKA WATIWE KITANZI HADHARANI WAKIWA UCHI
Ilikuja Richmond lowasa akijiuzulu na sasa anataka kugombea urais kwani hakuwa mwizi? Chenge pia alikuwa na kashfa apewe kazi ya katiba kwani sio mwizi? Kikwete na habari ya riz1 China kwani sio fisadi? Sasa ccm inasonga walewale wezi mafisadi still wataongoza hii nchi hata wewe kama unapesa zako Ingia kwenye saisa tangaza sera zako gawa misaada utaona kama hutapata hawa hawa wajinga watanzania ambao wanasahau yote kwa ajili ya njaa hii nchi ni kama Somalia hakuna uhuru nchi ipewe jeshi tujipange hata hao kina slaa wezi hakuna kiongozi tanzania sio mwizi woote wezi. Mungu bariki tanzania. Ameen