Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,741
- 14,928
Upo sahihi SanaRule of 10% : Jitahidi UISHI.
Hii rule ipo kwenye NYANJA 5.
1- Ki-Binafsi
2-Ki-familia
3-Ki-imani
4-Ki-kazi
5-Ki-mahusiano
Naomba nizungumzie kwa upande wa KIBINAFSI na KIIMANI.
Sisi binadamu tumekuja DUNIANI kuishi na kumuabudu Mwenyezi Mungu.
Basi tujitahidi katika kuishi TUISHI kweli kweli na katika KUABUDU tuabudu KWELI KWELI.
10 percent rule... Inataka hivyo.
Mimi binafsi kwa kila hela inayoingia natenga 10% ya kufarahia MAISHA (Starehe).
Natenga 10% kwa ajili ya SADAKA na mambo ya kijamii, ambayo kiimani inaitwa FUNGU LA KUMI.
80% zingine nazielekeza ktk mambo mengine ambayo sitayaweka wazi.
Nakushauri kama KIJANA mpambanaji kila hela unayopata basi tenga 20% pembeni.
Ambayo 10% inaenda ktk Starehe na 10% inaenda ktk Sadaka na JAMII.
HELA yoyote upatayo iwe kihalali au kwa Wizi hii rule itakusaidia sana.
Nakuasa kuanzia leo IMPLEMENT 10% percent Rule..
Watu wengi wanafariki/KUFA bila kuishi maisha...
Just ENJOY Maisha tenga 10β kwa kila Income yako kufurahia MAISHA hapa Duniani.
HAUJUI siku yako ya KUFA utaacha HELA nyingi (LABDA) Watu watagombania na kuzitawanya.
Muda huo wewe hujazifaidi hela ZAKO.
FAIDI hela zako kabla haujafa.. KIFO kipo anytime.
Ukipata 100,000 tenga 10,000 ya STAREHE, tenga 10,000 nyingine ya Sadaka.
Ikumbukwe SADAKA sio lazima uipeleke MSIKITINI au KANISANI, unaweza mpa mtu yeyote ambae unahisi itamsaidia kwa lolote. FAIDA yake ni kubwa kuliko hicho kidogo ulichotoa.
Kuna watu wanafanya kazi mpaka WANAKUFA hawajawahi KUISHI.
Serengeti boiHivi wanawake starehe yetu nn hasa au mm ndo mbahiliππau ndo Sina Hela
Lamomy hebu njoo π
Hiyo siyo starehe ni kazi maalumu πππSerengeti boi
Tuishi.. Mkuu.Upo sahihi mkuu
Ilo nalo nenoWanawake ndio wanaongoza kwa Kubaniq Hela hasa hela zao walizozitolea JASHO.
Yeah , Sadaka ina nguvu.Ilo nalo neno
Wengine hatujawa na maisha mazuri Bado nafikir tukipata Hela tutafanya hizo starehe kma tukiwa hatujafa
Ila sadak ni muhimu Sana kwakweli
Kumbe na nyie mnapenda hako kamchezo..Starehe yetu kupata kikunio boraa ππ
Mabaharia watakuja kukwambia eti raha yenu wanawake ni kupelekewa moto. Mabaharia siyo watu mpwa πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈHivi wanawake starehe yetu nn hasa au mm ndo mbahiliππau ndo Sina Hela
Lamomy hebu njoo π
Watu wengi hatuupendi umaskini hiyo ndo sababu ukikumbuka kunasiku ulilala bila kula kwenda kuichezea laki 3 bar huwezi πila tatizo tunatak.kuufuta umaskini Kwa haraka japo ni kitu kigumu, kusave kupitiliza nako ni kujichosha kilakitu kiwe na kiasiYeah , Sadaka ina nguvu.
Then, ishu ya kufurahia MAISHA si lazima uwe na hela nyingi.. hapana. Unaweza kutumia hata hicho kdg ulichokuwa nacho ukajisuuzisha nafsi.
Kuna watu AKILI zao ni KUJENGA tu, mtu wa hivi akikukuta upo sehemu umeagiza mguu wa mbuzi unakula atakushangaa hapo kashapiga hesabu ya lori la Mchanga au mifuko 8 ya Cement.
Anajenga hamalizi miaka 10 ANAKUFA na bado ana deni la UJENZI.. Na Maisha hajayafaidi na MWANAUME mwenzie anahamia hapo na kumuoa MKE wake.
Ah.. unasave wee mwisho wa siku unakufa na kuziacha. (Unatakiwa uwe na hayo mawazo ya kuwa, kuna siku UTAKUFA) ukiwaza hivyo hutoendekeza kubana bana. "Kitaliwa na Nyenyere".Watu wengi hatuupendi umaskini hiyo ndo sababu ukikumbuka kunasiku ulilala bila kula kwenda kuichezea laki 3 bar huwezi πila tatizo tunatak.kuufuta umaskini Kwa haraka japo ni kitu kigumu, kusave kupitiliza nako ni kujichosha kilakitu kiwe na kiasi
Wameshasema mbona mpwa πππMabaharia watakuja kukwambia eti raha yenu kupelekewa moto. Mabaharia siyo watu mpwa πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
πππAh.. unasave wee mwisho wa siku unakufa na kuziacha. (Unatakiwa uwe na hayo mawazo ya kuwa, kuna siku UTAKUFA) ukiwaza hivyo hutoendekeza kubana bana. "Kitaliwa na Nyenyere".
Kuna mmoja jana nipo ferry natafuta DALADALA ya kwenda Mwenge, gari hakuna.Wameshasema mbona mpwa πππ
wanawake wengi hatufanyi starehe tunadandia starehe za wanaume mwanamke kuspend 1 million aloitafuta ni kazi sanaππ
Sisi hatujawah kuwa na Hela πππKuna mmoja jana nipo ferry natafuta DALADALA ya kwenda Mwenge, gari hakuna.
Ikaja BAJAJI nauli elfu 2 tuuuu. Yaan buku 2.
Mdada mzuri , classy ile mbaya najua elfu 2 anayo. Ila alijishauri sana anachungulia tu ktk bajaj kupanda anataka ila anawaza elfu 2 kulipia nauli wakati hapo ni jero tu kwa Daladala.
End of the day hakupanda ile bajaji.
Mtu wa hivi ukimuita aje muonane utaskia "Nirequestie Uber/Bolt daladala siwezi"