Kanuni mpya za fedha: Dr Mpango

Kanuni mpya za fedha: Dr Mpango

Unaota wewe. Nani kakwambia India ukituma rupee kiasi kadhaa kwa shangazi yako ambaye yuko hapo hapo India inabidi utoe taarifa kama hii sheria yenu mpya ya kikomunisti inavyotaka? Hata kama una mapenzi na huu ushetani, mambo mengine ni vema kuyanyamazia tu. Nani kakwambia kwamba BOT huwa haijulishwi na mabenki ya biashara kuhusu pesa wanazotuma na kupokea kutoka nje?
Kwani unaogopa nini?mbona umekasirika sana
 
Ukishakuwa maskini ni masikini tu kuanzia kwenye damu, mwili mpaka kwenye roho

Hawa watu wametafuta madaraka kwa nguvu zote lkn uwezo hawana

U-primitive, umasikini ndiyo uliowajaa na ndiyo maana mpaka Leo mhawaelewi ni nini wanafanya na dunia inaelekea wapi.

Mijinga ndiyo iliyo madarakani kwahiyo tutegemee ujinga tu

Transfer ya 10,000USD mtu anaona ni ajabu, biashara watu watafanya vipi hapo ukizingatia dunia ya leo iko faster than fastest
Hadi vidola 1000 navyo mnavimaindi, hivi hii.mentality ya kimasikimasikini nani aliwapandikizia hawa watu?

Huwezi kubanabana flow ya pesa hata hizi ndogo ndogo kisha ukadhani unasaidia flow ya mitaji na business kwa watu wa kipato kidogo na cha kati
 
Kwa Bank niliyopo mimi chini ya US$ 1,000 unatoa bila kukatwa chochote, juu ya hapo ndiyo wanakata asilimia moja ya kuanzia US$ 1,000 and above...

Cc: mahondaw
Benki gani mkuu ukitoa chini ya 1000$ hawakati, nimeshatumia bank tatu, CRDB, KCB na FNB zote wanakata ukitoa kwa USD.
 
Nyie watu masikini eti mnataka wote tuwe masikini... Haiwezekani. Hata Stalin wa Urusi na Mao wa China hawakuweza japo walijaribu. All your policy experiments have failed elsewhere. Unfortunately, you do not learn from history.
Kwani unaogopa nini?mbona umekasirika sana
 
Bado zingine hujazitaja hapo...

Inategemea na aina ya account uliyofungua...

Cc: mahondaw
Kama hutajisikia vibaya ungenisaidia tu jina la bank na aina ya USD acc ambayo kwa kutoa chini ya 1000 hawakukati chochote, kuna karibia bank 20 Tz kutaja zote sidhani kama italeta ahueni.
 
Makato ya kwenye $ account CRDB yalianza zamani sana. Nililazimika kufunga hapo na kufungua pengine ambako wakati huo kulikuwa hakuna makato.
Benki gani mkuu ukitoa chini ya 1000$ hawakati, nimeshatumia bank tatu, CRDB, KCB na FNB zote wanakata ukitoa kwa USD.
 
Nyie watu masikini eti mnataka wote tuwe masikini... Haiwezekani. Hata Stalin wa Urusi na Mao wa China hawakuweza japo walijaribu. All your policy experiments have failed elsewhere. Unfortunately, you do not learn from history.

Mkuu sidhani kama hili suala litaleta usumbufu kama unavyolibeba. Miamala ya zamani iliyokuwa inapitia FIU ulikuwa unacheleweshwa sana sana kwa nusu saa hadi saa moja. Huo muda sioni ukileta usumbufu mkubwa kama mnavyotaka kulibeba hapa kisiasa zaidi.
 
Nadhani kuna aina fulani ya kodi inataka kukusanywa kwenye miamala. Inaonekana VAT haitoshi. Siyo kawaida hii mtu kutuma repoti na taarifa za mtu kwa muamala wa mil 2.3.
Sijaelewa maana ya hii kitu kwa kweli.
Tayari tunayo sheria na kanuni za antimoney laundering.

Kanuni hizi zinaelekeza kila bank inatakiwa kutoa taarifa ambazo kwa mihala ya aina yoyote ambayo sio ya kawaida inayofanywa na wateja wao "suspicious transactions". Mabank yamepewa nguvu za kutokufanya mihamala hiyo ikibidi. Serikali binafsi imeishatumia mamilion ya pesa kuwa train maafisa wa bank namna ya kutambua mihamala yenye mashaka, Mabank pia yamewekeza pesa nyingi sana kwenye kutrain wafanyakazi wao, yamewekeza kwa kuajiri na kuwalipa mishara mizuri sana wafanyakazi ambao ni mahusi kwa kuangalia mihala hiyo na yamewekeza pesa nyingi sana kwenye teknologia ya utambuzi wa mihala yenye mashaka.

Sasa inamaana hayo yote ni bure? au kanuni hizi zinafanya kazi kwa pamoja?
serikali inauwezo wa kuipitia mihamala yote hii au ndio inataka kuingilia private financial affairs zetu, financial surveillance ya namna hii inatia mashaka na ninaamini imetengenezwa katika misingi ya ujinga wa uongozi.

mtu yeyote anayefikiria anaweza kucontrol kila kitu ni mjinga tu.
 
Makato ya kwenye $ account CRDB yalianza zamani sana. Nililazimika kufunga hapo na kufungua pengine ambako wakati huo kulikuwa hakuna makato.
Ukitoa USD cash chini ya 1000$ haukatwi % yoyote huko kwingine, CRDB wanapiga 1% , KCB 3% huu ni wizi wa mchana, nipe idea huko kwingine kuna afadhali?
 
Siasa inaingiaje hapa wakati hii ni habari ya kiuchumi? Hizi ni sera za nchi zilizo duni kama Korea ya Kasikazini, Ethiopia, Cuba, nk. Siyo sera za nchi zilizopiga hatua za kiuchumi. Hata hapa TZ tunajua hivyo. Nyerere alijaribu kupita njia hiyo na sisi tuliokuwepo wakati huo, tunajua nini kilitokea. Mwinyi, Mkapa na Kikwete wakaja wakarekebisha. Sera za kijamaa haziwezi kuleta maendeleo popote duniani. Hawa wanaturuisha nyuma sana. Kurekebisha tena baada ya hawa jamaa kutoka itakuwa kazi ngumu sana. Kwenye uzi huu, mnaoshabikia huu upuuzi ni wawili tu. Nadhani hiyo inatosha kukuonyesha kitu.
Mkuu sidhani kama hili suala litaleta usumbufu kama unavyolibeba. Miamala ya zamani iliyokuwa inapitia FIU ulikuwa unacheleweshwa sana sana kwa nusu saa hadi saa moja. Huo muda sioni ukileta usumbufu mkubwa kama mnavyotaka kulibeba hapa kisiasa zaidi.
 
Siasa inaingiaje hapa wakati hii ni habari ya kiuchumi? Hizi ni sera za nchi zilizo duni kama Korea ya Kasikazini, Ethiopia, Cuba, nk. Siyo sera za nchi zilizopiga hatua za kiuchumi. Hata hapa TZ tunajua hivyo. Nyerere alijaribu kupita njia hiyo na sisi tuliokuwepo wakati huo, tunajua nini kilitokea. Mwinyi, Mkapa na Kikwete wakaja wakarekebisha. Sera za kijamaa haziwezi kuleta maendeleo popote duniani. Hawa wanaturuisha nyuma sana. Kurekebisha tena baada ya hawa jamaa kutoka itakuwa kazi ngumu sana.
Mkuu ebu kuwa wazi, sera kama hii inakuathiri vipi wewe? Kusubiria 15min bank ili wapate go ahead ya BOT na FIU? Kwa miaka kadhaa sasa hata ukitoa hata 10m na zaidi bongo unasubirishwa kama 15-30min, umeona madhara yoyote?
 
Huo kwingine nilifunga $ acc yangu miaka 2 imepita sasa. Ni TIB. Walikuwa hawakati kipindi hicho. Kwa sasa sijui. Unajua tena - mabenki yamekosa njia ya kuingiza pesa. Njia iliyobaki ni makato tu. Hata kuangali salio kwa ATM eti wanakata pesa! Wakati ATM zinawasaidia wao kazi.
Ukitoa USD cash chini ya 1000$ haukatwi % yoyote huko kwingine, CRDB wanapiga 1% , KCB 3% huu ni wizi wa mchana, nipe idea huko kwingine kuna afadhali?
 
Hii kanuni imeshaanza kutumika, je tumeona tofauti yoyote? Wanaangalia suspicious transactions, kwa kutumia kanuni hizi inamaanisha wana haki ya kuzuia na kusimamisha hiyo miamala, kama mtu hufanya money laundering sioni haja ya kuwa na hofu kwa kitu ambacho hakitakudhuru chochote.
 
Angalia sera zote in totality. Walianza na vyama vya siasa, media. Slowly wakaingia kwenye watu bianfsi. 2015 ilikuwa bora kuliko 2019. Hivyo hivyo 2019 itakuwa bora kuliko 2025. If you do not see this, your brain is blind. Sera zote za sasa ni za ku-control watu. Kujua mtu anakwenda chooni saa ngapi, anakula nini, anaandika nini kwenye mitandao, anapataje hela, nk. Hata kama mtu anapata pesa kihali, bring them down ili wote waishi kama mashetani. This is typical socialist. Socialist failed. We have been there before. Hakuna haja ya kurudi huko. Ni kuwapotezea Watanzania muda wa maendeleo.

Back
Top Bottom