Vivian kabla sijaanza mahesabu naomba nikopeshe japo 50k.
Here we go:
Step 1: 120,000 + 1,916,666 = 2,036,666
Step 2: 2,036,666 - 720,000 = 1,316,666
Step 3: 1,316,666 x 30% = 394,999.80
Step 4: 394,999.8 + 112,500 = 507,499.80 (PAYE)
Step 5: 2,036,666 x 10% = 203,666.60 (NSSF)
Unayompelekea Mr. nyumbani itakuwa 1,325,488.60 (i.e 2,036,666 - 507,499.80 - 203,666.60)
Wahasibu watasaidia kama nimekosea
ni kweli mkuu umekosea,nssf ni tax exempted inabidi gross salary utoe nssf kwanza then balance ndio u calculate paye! Kama wafanyakazi wako unawakata paye kabla hujatoa nssf pole zao! Lakini hii ndo jf mahali pa kujifunza maarifa mengi.wote twajifunza.
Nitafanya kwa kifupi kuokoa muda procedure ni kama nilivyofanya kwa mentor hapo juu.
1. Chukua jumla ya mapato yako then calculate 10% NSSF assuming kuwa upo kwenye private sector. Kama serekalini PPF or PSPF ni 5%.
Kwahiyo 2036,666 * 10% = 183,2994
2. Kodi (paye) itakuwa ni TZS446,398, then jumlisha NSSF inakuwa 650,064 ukiminus kwenye total earnings unabakiwa na 1,386,602. dah kamshiko kazuri vivy. Outing bac tutashare cost!
Nitafanya kwa kifupi kuokoa muda procedure ni kama nilivyofanya kwa mentor hapo juu.
1. Chukua jumla ya mapato yako then calculate 10% NSSF assuming kuwa upo kwenye private sector. Kama serekalini PPF or PSPF ni 5%.
Kwahiyo 2036,666 * 10% = 183,2994
2. Kodi (paye) itakuwa ni TZS446,398, then jumlisha NSSF inakuwa 650,064 ukiminus kwenye total earnings unabakiwa na 1,386,602. dah kamshiko kazuri vivy. Outing bac tutashare cost!
Poa mkuu mambo inakwenda hivii
1. 800,000 - 10% ya NSSF = 720,000 (kama upo kwenye private sector) Kama Govt PPF ni 5%
2. 720,000 - 520,000 = 180,000 (hiki ni kiasi cha kutozwa 25%)
3. 180,000 - 25% = 135,000
4. 45,000 +67,500 + 80,000 = 192,500 (jumla ya kodi & NSSF unayotakiwa kulipa)
5. Pesa utakayompelekea mamsapu ni 607,500/=
5. Kama ni mfanyakazi wa serekali wekamakato mengine kama Bima ya Afya 3% nk.
Kwenye mkwanja wa viviani, fungu la kumi kanisani unalikokotoa vipi, ama nyie hamtoi tithe ( Tithe: a. money some Christians give to church. a particular amount of money that members of some Christian churches give to the church)
Mkuu,
Namba moja naomba ufafanuzi! 2036,666*10% = 183,2994 kivipi? Kihesabu ni 2,036,666 *10% ni 203,666/=
Pili, Umezingatia hili kuwa maximum Tax deductible NSSF ni 200,000?=
Hivyo Taxable amount ni 2,036,666 - 200,000 = 1,836,666/= sasa endelea na uhasibu wako. Naomba kusahihishwa!
House allowance 120,000.
Gross pay 1,916,666.
Naomba ni kalkuletie teki hom
Huezi amini sijuagi net yangu..inaingiaga tu kwenye account! well nimeshukuru kufahamu.
Then..hapo bold..sijakupata vyema!!! 25% ya nini?[/QUOTE]
Kwa mapato yasiyozidi 720,000 fomula ni kama ifuatavyo:
1. Kati ya 135,000 na 360,000 kodi ni 14%,
2. Kati ya 360 hadi 540 ni 31,500 ongeza 20% ya kiasi kinachozidi sh 360,000
3. Kati ya 540,000 hadi 720,000 ni 67,500 ongeza 25% ya kiasi kinachozidi 540,000.
Wewe unaangukia Namba 3 kwani 800,000 ukitoa NSSF 10% Inabaki 720,000.
Kwamba fungu la kumi ulitoe kwenye gross au net pengine mapastor watusaidie maana ukitoa kwenye gross sasa si itakuwa double taxation? Na je ukijalipwa Pensheni hutatoa tena fungu la 10??
Noeleo baana!!
Ni kweli mkuu UMEKOSEA,NSSF ni tax exempted inabidi gross salary utoe NSSF kwanza then balance ndio u calculate PAYE! Kama wafanyakazi wako unawakata Paye kabla hujatoa NSSF pole zao! Lakini hii ndo JF mahali pa kujifunza maarifa mengi.wote twajifunza.
...................................................................Hilo nalo neno...personally, natoa 10% ya ile pesa niliyosaini kwenye mkataba...before makato yoyote!
Sijui ni sahihi...