Kanumba - sorry i find it too much.

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
815
Nilimpenda sana Kanumba na pia nilipenda pia kazi zake.
Ni majonzi makubwa sana kifo chake na daima nitamkumbuka.

Ili naona kama the media has exaggerated the whole arrangement. Sasa hivi umekuwa kama msiba wa kitaifa kind of.
Vipi Kuhusu mzee wetu Kipara aliyetutoka juzi juzi? Nafihiri inabidi kutumia media vizuri

Nawakilisha
 
Naomba kuchangia Hoja.

Kanumba alikua ni kijana mdogo sana.
Halafu ndo kwanza nyota yake ilikua imenza kung'ara.
Amewakilisha Nchi yetu kimataifa vizuri.
Kifo chake kimekua cha gafla mmo.
Ame struggle sana mpaka kufikia stage aliyokua nayo.
Alikua na ndoto nyingi sana alizotaka kuzifikia.
Aliipenda kazi yake.

KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA.

Tuendelee wandugu..
 
Watanzania ndivyo tulivyo... vitu vya kijinga jinga ndivyo hupewa vipaumbele! wameona aibu tu wangeweza hata kuairisha bunge leo
 
Nilimpenda sana Kanumba na pia nilipenda pia kazi zake.
Ni majonzi makubwa sana kifo chake na daima nitamkumbuka.

Ili naona kama the media has exaggerated the whole arrangement. Sasa hivi umekuwa kama msiba wa kitaifa kind of.
Vipi Kuhusu mzee wetu Kipara aliyetutoka juzi juzi? Nafihiri inabidi kutumia media vizuri

Nawakilisha

Labda nirudie tena hapa...kwa jinsi walivyoukuza msiba huu,na kwa jinsi viongozi wetu walivyo na upeo mdogo wa kufikiri msije kushangaa yote haya kuhitimishwa kwa kutangaziwa KANUMBA DAY,itakayoazimishwa kila mwaka..Poor Tanzania!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom