Kanizidi umri

Kanizidi umri

mchapa

Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
20
Reaction score
16
Habari wana JF,huyu dada ndo chaguo langu kwa ukweli na ana kila sifa ya kuwa mke wangu na tunapendana sana,tatizo linalonisumbua sasa ni kwamba kanizidi kama miezi 9 hivi,na muda ndo huu wa kuanza michakato ya ndoa.

Je ni sahihi kuoa mke aliyekuzidi umri ingawa kwa muonekano ni kama mimi ndo mkubwa?

Msaada please
 
Muoe umri ni no tuu na muonekano wewe umesema ni mkubwa
Wife material sifa anazo unataka gunia LA chawa au nni
Thanks Lord songa mbele
 
Oa mkuu au kama vipi nipe namba yake nimuoe mimi maana natafuta mke...!!
 
heeee wewe kakuzidi umri halafu miezi 9 tuu...unachekeshaaa!!!!....km anafaa kuwa mke usisubiri vuta ndani....Age is just a number....Kwani mtu umri ukiwa mkubwa ndio na .........inakuwa kubwa !!!!

Akikuzidi 2 or 3 years sio mbaya...mbaya akuzidi more than 6 years....kwanza nyie wanaume ndio mnaotangulia kuondoka duniani wanawake wanabaki....So bado tuu ataweza lea watoto km Mungu akimpa uzima wa afya...Weka ndani kitu hicho
 
yaani hili swali ulitakiwa utuulize kabla hata hujaanza kumsololea. sasa saa hizi si unatutafuta maneno?:caked:
 
Habari wana jf,huyu dada ndo chaguo langu kwa ukweli na ana kila sifa ya kuwa mke wangu na tunapendana sana,tatizo linalonisumbua sasa ni kwamba kanizidi km miezi 9 hv,na muda ndo huu wa kuanza michakato ya ndoa.Je ni sahihi kuoa mke aliyekuzidi umri ingawa kwa muonekano ni km mimi ndo mkubwa?msaada plz

mm mwalimu wangu niliye naye kanizid mwaka na nusu na bado mm naonekana mkubwa sasa tatizo liko wapi ? Kama fursa
 
huyu jamaa ana tuenjoy tu.
he aint serious
 
ghairi waachie wenzio wanawahi sana kuzeeka hao..kesho tu utamuona bibi..may be matunzo ya haja yahusike.
 
Habari wana JF,huyu dada ndo chaguo langu kwa ukweli na ana kila sifa ya kuwa mke wangu na tunapendana sana,tatizo linalonisumbua sasa ni kwamba kanizidi kama miezi 9 hivi,na muda ndo huu wa kuanza michakato ya ndoa.

Je ni sahihi kuoa mke aliyekuzidi umri ingawa kwa muonekano ni kama mimi ndo mkubwa?

Msaada please

Wewe oa tu, majibu ya swali lako utapata mkibahatika kupata mtoto wa tatu!
 
Habari wana JF,huyu dada ndo chaguo langu kwa ukweli na ana kila sifa ya kuwa mke wangu na tunapendana sana,tatizo linalonisumbua sasa ni kwamba kanizidi kama miezi 9 hivi,na muda ndo huu wa kuanza michakato ya ndoa.

Je ni sahihi kuoa mke aliyekuzidi umri ingawa kwa muonekano ni kama mimi ndo mkubwa?

Msaada please

Hata kama angekuzidi miaka kama miwili bado sioni tatizo. All other things being sawa, chukua mzigo!
 
Dunia imeshabadilika sana sasa hivi, age is just a number
 
huyu dada ndo chaguo langu kwa ukweli na ana kila sifa ya kuwa mke wangu na tunapendana sana,tatizo linalonisumbua sasa ni kwamba kanizidi kama miezi 9 hivi,na muda ndo huu wa kuanza michakato ya ndoa.
We kijana sidhani kama upo tayari kuoa maana naona unajichanganya tu hapa...

Umeshaweka bayana kwamba huyo mwanamke ndiye chaguo lako pia mnapendana, sasa wakati hayo yote yanatokea ina maana umri wake ulikuwa mdogo kuliko wako?

Je ni sahihi kuoa mke aliyekuzidi umri ingawa kwa muonekano ni kama mimi ndo mkubwa?

Halafu naomba niulize, hivi mke huwa anaolewa?
 
^^
Bado hujatambua kuoa ni nini, ni vema ukasubiri wakati wako
^^
 
Mwachie Ngondomole bwana! Wee amekuzidi umri hatakufaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom