Powel Mizengo
Senior Member
- Jan 20, 2014
- 126
- 24
Mi nilizani amekuzidi miaka kumbe ni miezi!!!!Mi nina mtu namfahamu amepitwa miaka 20 na mumewe lakini wapo powa tu!!!!
imeandikwa wapi hii?heeee wewe kakuzidi umri halafu miezi 9 tuu...unachekeshaaa!!!!....km anafaa kuwa mke usisubiri vuta ndani....Age is just a number....Kwani mtu umri ukiwa mkubwa ndio na .........inakuwa kubwa !!!!
Akikuzidi 2 or 3 years sio mbaya...mbaya akuzidi more than 6 years....kwanza nyie wanaume ndio mnaotangulia kuondoka duniani wanawake wanabaki....So bado tuu ataweza lea watoto km Mungu akimpa uzima wa afya...Weka ndani kitu hicho
Habari wana JF,huyu dada ndo chaguo langu kwa ukweli na ana kila sifa ya kuwa mke wangu na tunapendana sana,tatizo linalonisumbua sasa ni kwamba kanizidi kama miezi 9 hivi,na muda ndo huu wa kuanza michakato ya ndoa.
Je ni sahihi kuoa mke aliyekuzidi umri ingawa kwa muonekano ni kama mimi ndo mkubwa?
Msaada please