Kaniwish Valentine, nimeblue tick tu

Usilete kiburi kabla ujapiga
Nlishamla kama miaka miwili imepita so tukawa tumepotezeana baadae akarudi nikaona poa ngoja tuendeleee ila sasa ndo mapicha picha kama hivi.
 
Mimi kuna mmoja kanitext ananiuliza nimemuandalia nini kama zawadi ya valentine, nmemjibu upendo. Kajibu nimemkasirisha kaaga kalala
Hawa wajinga ni kuwakazia hvyo hvyo,toa zawadi pale unapotaka na sio kulazimishwa mara sjui siku ya kuzaliwa nipe zawadi

Mimi huwa nikiombwa zawadi ndo napanga siku hyo nikamnyandue na simpi kitu,zawadi au hela nampa siku ambayo haitegemei
 
Ungekuwa umemuuliza sababu ya yy kutotaka kuonana na we,pengine anakupenda kweli na anatamani kukuona ila anashindwa labda anaumwa hawezi kutembea utajuaje usipo muuliza
Haumwi kaamua tu, labda sina uzito sana kwake
 
Hawa wajinga ni kuwakazia hvyo hvyo,toa zawadi pale unapotaka na sio kulazimishwa mara sjui siku ya kuzaliwa nipe zawadi

Mimi huwa nikiombwa zawadi ndo napanga siku hyo nikamnyandue na simpi kitu,zawadi au hela nampa siku ambayo haitegemei
Wanazingua sana kwao upendo ni siku ya sikukuu tu, huyu Ke nilimsapoti sana bila hata kumhitaji kimapenzi ila akanihitaji yeye lakini naona ana ufenist ndani yake.
 
Upo sahihi, usikubali aone anaweza kukuendesha. Pia unaweza mjibu asante kama ukiona sawa.
Mpotezee akikutafuta ongea naye kidogo stori mbili tatu au kama ni text, text mbili tatu za kujuliana hali basi, sababu umeshajaribu vya kutosha haina haja ya kuendelea kuongeza nguvu.
Mpaka ye mwenyewe alete mada ya kukutana ndio upange kukutana. La sivyo usimuambie kuhusu kukutana.

Kuna wanawake wanataka kugeuza wanaume marafiki zao tu.
 
Kabisa kaka nando aliponiweka saivi,So ngoja nimuwahi kabla sijaonekana namhitaji sana.
 
Achana naye fala huyo,acha kulazimisha lazimisha pisi mbona ziko kibao tuu
 
Point[emoji119]
 
Oshey mr [emoji383]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…