Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
- Thread starter
-
- #21
Nishamla siku za nyuma tukaachana baadae tukawa tumerudiana ila sasa kurudiana kwenyewe ndo huko nshakua mpenzi wa kwenye simu.Kama unataka kumla jibu usionyeshe kususa
Kwan kakuomba pesa, be a man
Ipo siku atajichanganya tu, kuna mademu wengine wameumizwa sana so wanakupima hata miezi sita
Soon mtajua tu msijali mbona hujalala wewe tuchart basi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2] yani hadi sasa mwanamke hujalala, au jamaa ndo anakoroma hapo pembeni.
Wewe tunakuandalia tuzo ya ua la amsha Popooo konki!
Hujui kandamiza gandaa upo upo tu wewe sio firee,Kuna watu hatariiiNishamla siku za nyuma tukaachana baadae tukawa tumerudiana ila sasa kurudiana kwenyewe ndo huko nshakua mpenzi wa kwenye simu.
Sahihi kaka,haina haja ya unafiki heri ajue kabisa huyu jamaa kamind.Unipime miez 6 kwani unanifanyia tafiti ya mapenzi,
Mimi sikubaliani na ww, mwanamke akikuzungusha ni kwamba ana mutu wake, hivyo anakuweka spare.
Siku wakizinguana akajiona hana pa kuanzia ndio file ulilotupwa unatafutwa, wakirudiana siku mbili tu unalimwa blok ilihal ww sasa ushamkabidhisha maini, firigisi, ubongo wa mbele kati na nyuma
😁 Si mtaniua sasaNa Mimi rafiki umeniandalia Nini??
Nshamla siku za nyuma tukaachana badae ikaonekana kama kajirudisha namie nkampokea ila sasa ujio wake wa saivi kaniweka mpenzi wa kwenye simu.asisuse mapema awe easy and gentle on her...atajaa
Haina haja.Carrasco putin Happy Valentine usipojibu nitalia [emoji27][emoji27][emoji27] nijibu basi chibaba wangu [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Sawa ndo maana nimeona yaishe leo leo Valentine.Hujui kandamiza gandaa upo upo tu wewe sio firee,Kuna watu hatariii
Ungesoundisha ufanye juhudi utalegea Kwa wangapi??Sawa ndo maana nimeona yaishe leo leo Valentine.
SijakuelewaHaina haja.
Chimama na huyo na Mimi rafiki anaumuhimu wote wakikuziria nakupa wazo ,kampani hivo ndogo tu😁 Si mtaniua sasa
Nilegee kivipi sijakuelewaUngesoundisha ufanye juhudi utalegea Kwa wangapi??
Hakuna wakuniziriaChimama na huyo na Mimi rafiki anaumuhimu wote wakikuziria nakupa wazo ,kampani hivo ndogo tu
Aisee, huu nao uzi!!???Habari wakuu,
Kuna binti flani namkubali sana na anajua. Sasa kanigeuza kuwa mpenzi wa kwenye simu tu kila nikimpanga tuonane analeta excuse.
Juzi nikamtega kwa kumuomba tuonane Valentine hii kama kawaida akachomoa kwa kunijibu kwamba hadhani kama itawezekana me nikamjibu tu poa fyn.
Sasa now kantxt whatsapp makopa ya valentine na nimesoma tu nimekausha maana naona haina haja hata ya kumjibu,
Je niko sawa?
No fap nigga acha ujinga niggaHabari wakuu,
Kuna binti flani namkubali sana na anajua. Sasa kanigeuza kuwa mpenzi wa kwenye simu tu kila nikimpanga tuonane analeta excuse.
Juzi nikamtega kwa kumuomba tuonane Valentine hii kama kawaida akachomoa kwa kunijibu kwamba hadhani kama itawezekana me nikamjibu tu poa fyn.
Sasa now kantxt whatsapp makopa ya valentine na nimesoma tu nimekausha maana naona haina haja hata ya kumjibu,
Je niko sawa?
JF ukiwa na stresa zako za mapenz ukaingia humu na kusoma koment kama hiz unaweza kufa kwa presha[emoji23].Halafu hiyo ilikuwa ni forwaded messsge aliyoaindaa na mmetumiwa kama 15 hivi,
Baada ya hapo anakusanya majibu ya faida na hasara, leo jioni anafunga hesabu
Usilete kiburi kabla ujapigaHabari wakuu,
Kuna binti flani namkubali sana na anajua. Sasa kanigeuza kuwa mpenzi wa kwenye simu tu kila nikimpanga tuonane analeta excuse.
Juzi nikamtega kwa kumuomba tuonane Valentine hii kama kawaida akachomoa kwa kunijibu kwamba hadhani kama itawezekana me nikamjibu tu poa fyn.
Sasa now kantxt whatsapp makopa ya valentine na nimesoma tu nimekausha maana naona haina haja hata ya kumjibu,
Je niko sawa?
Kama mzigo hatoi sasa wa nini? Achana naeHabari wakuu,
Kuna binti flani namkubali sana na anajua. Sasa kanigeuza kuwa mpenzi wa kwenye simu tu kila nikimpanga tuonane analeta excuse.
Juzi nikamtega kwa kumuomba tuonane Valentine hii kama kawaida akachomoa kwa kunijibu kwamba hadhani kama itawezekana me nikamjibu tu poa fyn.
Sasa now kantxt whatsapp makopa ya valentine na nimesoma tu nimekausha maana naona haina haja hata ya kumjibu,
Je niko sawa?
KabisaHabari wakuu,

NdioAisee, huu nao uzi!!???