Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
Yani sitamjibu kabisa nakuapiaSahihi sana
Mimi kuna mmoja kanitext ananiuliza nimemuandalia nini kama zawadi ya valentine, nmemjibu upendo. Kajibu nimemkasirisha kaaga kalalaYani sitamjibu kabisa nakuapia
Mtego huo, Jichanganye akulie hiyo aftatu yakoHabari wakuu,
Kuna binti flani namkubali sana na anajua. Sasa kanigeuza kuwa mpenzi wa kwenye simu tu kila nikimpanga tuonane analeta excuse.
Juzi nikamtega kwa kumuomba tuonane Valentine hii kama kawaida akachomoa kwa kunijibu kwamba hadhani kama itawezekana me nikamjibu tu poa fyn.
Sasa now kantxt whatsapp makopa ya valentine na nimesoma tu nimekausha maana naona haina haja hata ya kumjibu,
Je niko sawa?
Halafu hiyo ilikuwa ni forwaded messsge aliyoaindaa na mmetumiwa kama 15 hivi,Mimi kuna mmoja kanitext ananiuliza nimemuandalia nini kama zawadi ya valentine, nmemjibu upendo. Kajibu nimemkasirisha kaaga kalala
Kama unataka kumla jibu usionyeshe kususaHabari wakuu,
Kuna binti flani namkubali sana na anajua. Sasa kanigeuza kuwa mpenzi wa kwenye simu tu kila nikimpanga tuonane analeta excuse.
Juzi nikamtega kwa kumuomba tuonane Valentine hii kama kawaida akachomoa kwa kunijibu kwamba hadhani kama itawezekana me nikamjibu tu poa fyn.
Sasa now kantxt whatsapp makopa ya valentine na nimesoma tu nimekausha maana naona haina haja hata ya kumjibu,
Je niko sawa?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mtego huo, Jichanganye akulie hiyo aftatu yako
Sitamjibu kitu,tena nashukuru alivokataa kanisaidia upelelezi pesa ambayo tungespend nae imepona.Mtego huo, Jichanganye akulie hiyo aftatu yako
Nishakwepa hilo shambulizi hatari. Amekaa kimya zaidi ya 3 weeks alafu leo anakuja kudai zawadi. Ila kuna watu huwa hawana aibu kabisa.Halafu hiyo ilikuwa ni forwaded messsge aliyoaindaa na mmetumiwa kama 15 hivi,
Baada ya hapo anakusanya majibu ya faida na hasara, leo jioni anafunga hesabu
hela ya vibati na vicobaHalafu hiyo ilikuwa ni forwaded messsge aliyoaindaa na mmetumiwa kama 15 hivi,
Baada ya hapo anakusanya majibu ya faida na hasara, leo jioni anafunga hesabu
Mmh!!Kama unataka kumla jibu usionyeshe kususa
Kwan kakuomba pesa, be a man
Ipo siku atajichanganya tu, kuna mademu wengine wameumizwa sana so wanakupima hata miezi sita
entitlementNishakwepa hilo shambulizi hatari. Amekaa kimya zaidi ya 3 weeks alafu leo anakuja kudai zawadi. Ila kuna watu huwa hawana aibu kabisa.
Unipime miez 6 kwani unanifanyia tafiti ya mapenzi,Kama unataka kumla jibu usionyeshe kususa
Kwan kakuomba pesa, be a man
Ipo siku atajichanganya tu, kuna mademu wengine wameumizwa sana so wanakupima hata miezi sita
asisuse mapema awe easy and gentle on her...atajaaKama unataka kumla jibu usionyeshe kususa
Kwan kakuomba pesa, be a man
Ipo siku atajichanganya tu, kuna mademu wengine wameumizwa sana so wanakupima hata miezi sita
Kausha usimjibu chochote SingasingaYani sitamjibu kabisa nakuapia
Na Mimi rafiki umeniandalia Nini??Mimi kuna mmoja kanitext ananiuliza nimemuandalia nini kama zawadi ya valentine, nmemjibu upendo. Kajibu nimemkasirisha kaaga kalala
Kama unataka kupita jibu utakula siku wanawake hawaeleweki broUnipime miez 6 kwani unanifanyia tafiti ya mapenzi,
Mimi sikubaliani na ww, mwanamke akikuzungusha ni kwamba ana mutu wake, hivyo anakuweka spare.
Siku wakizinguana akajiona hana pa kuanzia ndio file ulilotupwa unatafutwa, wakirudiana siku mbili tu unalimwa blok ilihal ww sasa ushamkabidhisha maini, firigisi, ubongo wa mbele kati na nyuma
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2] yani hadi sasa mwanamke hujalala, au jamaa ndo anakoroma hapo pembeni.Na Mimi rafiki umeniandalia Nini??