kanitosa kisa handsome boy

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
509
667
kwenu wana jamvini hapa home kuna mchiz wangu tokea long time ameona na ana mtoto mmoja na mkewe wametoka mbali mno but kadem flani ambacho kanaishi maisha ya kubangaiza kalijenga ukaribu sana na mshikaji wangu and kaka msimulia juu ya life yake na mamaake wakapatana na mshikaji awe mke wa pili kisiri then after jamaa akakapangishia nyumba na kila kitu na college akakaanzisha now on kamemaliza college na kaz kamepata kama secretary but chakushangaza kapata bwana mwingine yaani kijana mwenzie coz jamaa alie mtoa ni mtu mzima kwa hiyo hamtaki.kinacho muumiza mshkaji wangu ni kwamba amemtoa mbali huyu binti ushauri tafadhali.
 
kichwa cha habari na content haviendani, ...mwambie huyo jamaa aende kwa mke wa pili ili arudishe gharama zake...nahisi haujatunga
 
Alichofanya uyo mwanamke ni funzo kwa uyoo jamaa ako asije kurudia swala la aibu kama hilo. Iyo fedha alikuwa anamsomesha na mambo mengine kwanini asingetumia kwa familia yake. Unakuta familia inakula kwa tabu lakini kimada kinakula vizuri kinavaa vizuri. Hiyo itawasaidie familia yake ile fedha alikuwa anapeleka kwa kimada awape mahitaji muhimu mtoto na mke wake...
 
jamaa kafundishwa aache tamaa. dada big up sana huyo jamaa si ana mke sasa tamaa zote za nini
 
Apige kimya nadhani angemwendeleza mke wake wa kwanza kielimu pia afungue junior akaunti kwa wanae kwani atakuwa kafanya jambo jema. Maisha magumu ajipange
 
Wakati anaanzisha nyumba ndogo alikuomba ushauri? Mwambie akome mpango wa kando.
 
kosa ni lake hakuna ushaur kwn mke wake yey haikumuuma bda ya kuona bjeti inapungua no ushaur..,... La msing aende kw mke wake akomfess ili awe free afu kwa mwnadashosti a-assume amemsaidia ni hayo 2 mkubwa
 
Huyo anataka ushauri gani sasa. Mambo yote alikuwa anayafanya kwa siri bila kumshirikisha mkewe na wala sisi hakutuomba ushauri wakati anaanzisha mahusiano na kibinti hicho. Iweje leo wameshindana unataka tukushauri, ungeomba ushauri kabla hawajafika hapo. Waafrika wengi ni mabwege kweli hasa kwa upande wa ngono.
 
kwenu wana jamvini hapa home kuna mchiz wangu tokea long time ameona na ana mtoto mmoja na mkewe wametoka mbali mno but kadem flani ambacho kanaishi maisha ya kubangaiza kalijenga ukaribu sana na mshikaji wangu and kaka msimulia juu ya life yake na mamaake wakapatana na mshikaji awe mke wa pili kisiri then after jamaa akakapangishia nyumba na kila kitu na college akakaanzisha now on kamemaliza college na kaz kamepata kama secretary but chakushangaza kapata bwana mwingine yaani kijana mwenzie coz jamaa alie mtoa ni mtu mzima kwa hiyo hamtaki.kinacho muumiza mshkaji wangu ni kwamba amemtoa mbali huyu binti ushauri tafadhali.

Sipingi ulichokiandika lakini ushari wangu ni kuwa YOU CAN DO BETTER THAT THIS, Jamii forum haihitaji tu walewa inahitaji zaidi wanaojifunza pia, ili tupate taifa linaloweza kuwa na hoja nzito nzito!
amani iwe nawe!
 
huyo gal anastahili big up!
Na nadhan Mungu kamlipa huyo rafiki yako ***** kwa usaliti aliokua anafanya dhidi ya mkewe very good!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom