kanitosa kisa handsome boy

Mizee mingne bwana,kisa cha kuchachia kwa binti wa watu nini?sasa anachukia nn kuona binti kajisevia mkaka muhendisamu na wakat umri wake ushapita?nadhan huyo binti ametumia kisu kidogo sana kumchuna huyo mzee,angekuwa karib yangu ningemnolea panga kabisaa kuhakikisha anamwacha na boxa
 
Tatizo sio kumchuna,handsome anapelekewa virusi vilivyotoka kwa mume wa mtu (ambapo mara nyingi huwa hawatumii kondom wakiwa nanyumba ndogo)
 
Kwani mwanzo waliwekeana makubaliano kama watakuwa wote na kumlipa fadhili kama walikuwa na uhusiano basi ndo wakati wake umekwisha. Kamtoa mbali wapi peponi...? Huyo jamaa kwanza hana adabu ana mke na mtoto halafu anakachukua kabinti kwa siri. Hao ndo mafataki ambao twataka tuwakomeshe kwa adhabu kali zaidi ya hii. Na ww unamuona mchizi wako anafanya madudu kama hayo unamuangalia na sasa unakuja muombea ushauri....x8%"\'c*
 
Kwani hakujua kama ana-invest kwa kiumbe mwanamke ambae ni undefined? Mwambie thats the true colour of these women we have. Na mwambie pia kwa huo uzee atulie kwake, hayo mambo ilibidi ayafanye akiwa kijana...................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom