hivi sharifu bado ni mtoto?..tangu miaka ya mwanzoni ya 90 namsikia bado ni mtoto kweli?.Kama kuna muisilamu anayeswali katika ule msikiti unaopakana na hilo kanisa la Riverside la Fr. Nkwera, basi bila shaka atakuwa anaijua vizuri stori ya jinsi mambo yalivyomuendea kombo yule mtoto sheikh Shariff siku alipotaka kutoa muhadhara pale msikitini. Kwa ufupi hakuna kilichokubali mle msikitini na yule mtoto akaufuta mhadhara
are you married or single?.
Habari za jumapili wana JF,
Naomba kujuzwa hili kanisa hapa Maeneo ya riverside,mapadri,masista na waumini kuingia Pekupeku ni version gani ya RC?Mapadri Na masista wake wanatoka mashirika gani?Roma inalitambua hili kanisa? cha kunishangaza nyimbo zao ni zile zile za RC!!
Nawasilisha ili nijuzwee
Na waisilamu kuua ili kuilinda dini, kulipiza kisasi, kuahidiwa mabikira 70 mbinguni hayo nayo ni masharti ya dhehebu gani la kikristo?ukikusanya masharti yote ya madhehebu ya kikristo unapata uislam(maana kuna wanaokataza pombe kabisa-walokole,kuna wanaovaa kama masista-katoliki na kuchoma ubani,kuna wanaovua viatu,kuna wasiokula kitimoto-wasabato,kuna wanaofunga na kuhiji etc)hivyo vyote kwa pamoja uislam hutekelezwa
Mmhhh! I am a nun.
Habari za jumapili wana JF,
Naomba kujuzwa hili kanisa hapa Maeneo ya riverside,mapadri,masista na waumini kuingia Pekupeku ni version gani ya RC?Mapadri Na masista wake wanatoka mashirika gani?Roma inalitambua hili kanisa? cha kunishangaza nyimbo zao ni zile zile za RC!!
Nawasilisha ili nijuzwee
Siyo kweli Mkuu soma post hapo juuHili ni shirika la makapuchini chini ya mt. Fransisco toka italy wanamuenz kwani tangu kipindi hicho aliishi hivo,kwa maswali zaid nenda morogoro mjini utamkuta father pekupeku pale radio maria atakujib zaid
Pole sn! Unaejua haramu Nguruwe tu wakati pweza wala!
Bongolala hoja yake nyepesi sn na haya ndo majibu yake!
We sio mzima kwa yakini ,Lakini bado vitu kadhaa ili uslam utekelezwe, mfano, wakristu wakianza kujiripua au kuua ili wapate mabikra 72 mbinguni, wakianza kusali pamoja na majini nk
Hakuasi isipokuwa yeye anakarama ya kuombea watu wakapona,askofu wake alikuwa anasigana naye kuhusu hiyo Huduma ndiyo Nkwera hakukubaliana kanisa likamtenga ndiyo akaanza kuhudumu kivyake.wanaitqa wanamaombimbona ni kanisa la siku nyingi sana hilo? kiongozi wake ni Father Nkwera aliyeasi Catholic
Wewe kweli ni BONGOLALA!ukikusanya masharti yote ya madhehebu ya kikristo unapata uislam(maana kuna wanaokataza pombe kabisa-walokole,kuna wanaovaa kama masista-katoliki na kuchoma ubani,kuna wanaovua viatu,kuna wasiokula kitimoto-wasabato,kuna wanaofunga na kuhiji etc)hivyo vyote kwa pamoja uislam hutekelezwa
AiseeUkristo ni roho na uislam ni mwili ndio maana mtu akijamba swala yake imeharibika kisslam ila ukristo unahitaji roho hata ukijamba sala bado ni poa tu.