Second Lieutenant
Senior Member
- Jan 13, 2014
- 143
- 26
ukikusanya masharti yote ya madhehebu ya kikristo unapata uislam(maana kuna wanaokataza pombe kabisa-walokole,kuna wanaovaa kama masista-katoliki na kuchoma ubani,kuna wanaovua viatu,kuna wasiokula kitimoto-wasabato,kuna wanaofunga na kuhiji etc)hivyo vyote kwa pamoja uislam hutekelezwa
Habari za jumapili wana JF,
Naomba kujuzwa hili kanisa hapa Maeneo ya riverside,mapadri,masista na waumini kuingia Pekupeku ni version gani ya RC?Mapadri Na masista wake wanatoka mashirika gani?Roma inalitambua hili kanisa? cha kunishangaza nyimbo zao ni zile zile za RC!!
Nawasilisha ili nijuzwee
Hicho ni kitu cha Fr Nkwera, yeye hahitaji kuripoti Vatican wala wapi, anaripoti moja kwa moja mbinguni...lol!😛ound:
ukikusanya masharti yote ya madhehebu ya kikristo unapata uislam(maana kuna wanaokataza pombe kabisa-walokole,kuna wanaovaa kama masista-katoliki na kuchoma ubani,kuna wanaovua viatu,kuna wasiokula kitimoto-wasabato,kuna wanaofunga na kuhiji etc)hivyo vyote kwa pamoja uislam hutekelezwa
ukikusanya masharti yote ya madhehebu ya kikristo unapata uislam(maana kuna wanaokataza pombe kabisa-walokole,kuna wanaovaa kama masista-katoliki na kuchoma ubani,kuna wanaovua viatu,kuna wasiokula kitimoto-wasabato,kuna wanaofunga na kuhiji etc)hivyo vyote kwa pamoja uislam hutekelezwa
Mtu ameuliza kuhusu waumini wa lile kanisa pale Riverside cha ajabu kuna njegele wameanza kuongelea ukristu na uislamu, mtaelimika lini nyie..!?
Hujaelewa Uzi wangu,take time to read it carefullyWe achana na hao pekupeku we chakuangalia unauhusiano gani na mungu wako,unamfanyia anavyotaka au kaz yako kuchunguza tu din za watu?ifike sehem tutambue hizi ni nyakati za mwisho kilamtu ajichunguze yeye kwanza kabla ya mwingne.
Una uhakika na unachokisema? Ktk haramu nguruwe si haramu peke Yake! Kuna wanyama wengine wengi haramu na samaki haramu kibao ambao ata Nyie mnakula!