Kanisa limuondoe Baba Paroko wa Kitunda

Kanisa limuondoe Baba Paroko wa Kitunda

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
783
Baba Paroko wa Parokia ya Roho Mtakatifu Kitunda kwa nini anakuwa na kigugumizi cha kutangaza Jumuiya zilizohamishwa kutoka Parokia yake kwenda Parokia ya Kipunguni - Akwino.

Kwanini bado hatangazi ili hali taarifa anazo haoni kama waamini anawagawa!

Kanisa Katoliki linamsimamo lazima aheshimu maamuzi ya Askofu kugawa mipaka haiwezekani watu watembee km 4 kwenda kusali ili hali kuna Parokia ipo karibu hata km 1 haifiki.

Baba Askofu amuangalie sana huyu paroko amekaa hapo muda mrefu ametengeneza himaya yake. Kitu ambacho sio kizuri kwa Kanisa.

Haiwezekani tumehamishwa kwenda Parokia nyingine lakini viongozi wanadai michango ya Parokia nyingine ambayo tumeshahama hili ni tatizo na linaleta mgawanyo ndani ya Jumuiya.

Nawasilisha.
 
Baba paroko wa parokia ya roho mtakatifu Kitunda kwa nini anakuwa na kigugumizi cha kutangaza Jumuiya zilizohamishwa kutoka parokia Yake kwenda Parokia ya Kipunguni - Akwino. Kwa nini bado hatangazi ili hali taarifa anazo haoni kama waamini anawagawa. Kanisa katoliki linamsimamo lazima aheshimu maamuzi ya Askofu kugawa mipaka haiwezekani watu watembee km 4 kwenda kusali ili hali kuna Parokia ipo karibu km haifiki. Baba Askofu amuangalie sana Huyu paroko amekaa hapo muda mrefu ametengeneza himaya yake. Kitu ambacho sio kizuri kwa kanisa. Haiwezekani tumehamishwa kwenda parokia nyingine lakini viongozi wanadai michango ya parokia nyingine ambayo tumeshahama hili ni tatizo na linaleta mgawanyo ndani ya Jumuiya.

Nawasilisha.
Huku ndiyo utapata majibu ya maswali yako?
 
umelazimishwa kusali kwa huyo paroko, sali kanisa la jirani yako
usituchoshe,
 
Baba paroko wa parokia ya roho mtakatifu Kitunda kwa nini anakuwa na kigugumizi cha kutangaza Jumuiya zilizohamishwa kutoka parokia Yake kwenda Parokia ya Kipunguni - Akwino. Kwa nini bado hatangazi ili hali taarifa anazo haoni kama waamini anawagawa. Kanisa katoliki linamsimamo lazima aheshimu maamuzi ya Askofu kugawa mipaka haiwezekani watu watembee km 4 kwenda kusali ili hali kuna Parokia ipo karibu km haifiki. Baba Askofu amuangalie sana Huyu paroko amekaa hapo muda mrefu ametengeneza himaya yake. Kitu ambacho sio kizuri kwa kanisa. Haiwezekani tumehamishwa kwenda parokia nyingine lakini viongozi wanadai michango ya parokia nyingine ambayo tumeshahama hili ni tatizo na linaleta mgawanyo ndani ya Jumuiya.

Nawasilisha.
Punguza kihelehele

Kasali unakokutaka, kwani umeshikiwa bunduki
 
Watafanyia kazi
 
Baba paroko wa parokia ya roho mtakatifu Kitunda kwa nini anakuwa na kigugumizi cha kutangaza Jumuiya zilizohamishwa kutoka parokia Yake kwenda Parokia ya Kipunguni - Akwino.

Kwanini bado hatangazi ili hali taarifa anazo haoni kama waamini anawagawa.

Kanisa katoliki linamsimamo lazima aheshimu maamuzi ya Askofu kugawa mipaka haiwezekani watu watembee km 4 kwenda kusali ili hali kuna Parokia ipo karibu km haifiki.

Baba Askofu amuangalie sana Huyu paroko amekaa hapo muda mrefu ametengeneza himaya yake. Kitu ambacho sio kizuri kwa kanisa.

Haiwezekani tumehamishwa kwenda parokia nyingine lakini viongozi wanadai michango ya parokia nyingine ambayo tumeshahama hili ni tatizo na linaleta mgawanyo ndani ya Jumuiya.

Nawasilisha.

Nenda kasali hapo karibu
kwani utazuiwa!?
 
Mkuu; hebu tulia kidogo halafu utuambie vizuri. Je, Nani alizigawa hizo Jumuiya kutoka Parokia ya Roho Mtakatifu kwenda Parokia ya Kipunguni-Akwino?
Je, Baba Paroko wa Kipunguni amesemaje kuhusu hilo? i.e. Paroko wa Kipunguni ana taarifa rasmi juu ya jambo hilo? Mwisho labda nukuulize Je, Huduma za kiroho kwa sasa unazipata kutoka Parokia gani?
Kwa kifupi ni kwamba utaratibu unaelekeza kwamba kule unakopata Huduma ndiko Utoe Uwezeshaji wa hizo huduma i.e. Ndiko upeleke michango yako.
 
Back
Top Bottom