kanisa lageuzwa darasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kanisa lageuzwa darasa

Discussion in 'Jamii Photos' started by MSEZA MKULU, Jul 16, 2012.

 1. MSEZA MKULU

  MSEZA MKULU JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 3,733
  Likes Received: 4,587
  Trophy Points: 280
  maisha bora kwa kila mtanzania
   

  Attached Files:

 2. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hii ni common sana mkuu, ukienda mavijijini hii ni kawaida sana, nimetembelea heka-singida, kifumbe-iringa... makanisa ndio madarasa!! na mengine yanahudumiwa na makanisa kwa maana kuwalipa waalimu
   
 3. KANDA MBILI

  KANDA MBILI Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 25
  Duh..hii nayo kali ..nafikiri mitihani ikija wanafaulu woote kwani malaika wako wengi sana humo na hawawezi kuvumilia kuona mtu anakosea jibu wakati wao wanalijua......
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hii mbona iko longitime, shule niliyokuwa nikienda ilikuwa classroom during the week and weekend ni kanisa.
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  njia mbadala............
   
Loading...