Nilipita barabara ya Sam Nujoma jumamosi nikawakuta waumini wa Kakobe wamekaa nje ya kanisa hilo huku wamevaa t-shirts za njano mbele zimeandikwa "Baada ya Richmond sasa mmehamia makanisani" na nyuma zimeandikwa "Tanesco muogopeni Mungu" Naona hivi vijembe ni kwa ajili ya Serikali na Tanesco...