dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,500
- 3,481
Ni kanisa la Pentecostal linaitwa Cornerstone Assemblies of God Tanzania liko kijiji cha Kihanga, kata ya Kihanga wilaya ya Karagwe, Kagera. Kanisa lilichomwa moto na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia alhamisi ya tar 14 .4.2016
Wiki moja kabla pia wahalifu hao walitumia ufunguo bandia na kuingia ndani na kuchoma vitambaa vya madhabahu na vitabu vya dini kanisani.
Matukio yote mawili yaliripotiwa polisi.
Wiki moja kabla pia wahalifu hao walitumia ufunguo bandia na kuingia ndani na kuchoma vitambaa vya madhabahu na vitabu vya dini kanisani.
Matukio yote mawili yaliripotiwa polisi.