ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,530
Waumini tunaomuogopa Mungu tumeanza kuyashitukia makanisa yetuHopeless kabisa kwani wewe unaenda kanisani kwa ajili ya mapadri au maaskofu??! Tena uondoke kabisa milele hujui hata maana ya kanisa na kwa nini unaenda kanisani. Umeni bore sana mkuu!!
Umegeuzageuza maneno tu.Unakosea, shusha lawama zako kwa viongozi na siyo kwa kanisa! Kristo ni kanisa, kupinga kanisa ni kumpinga Kristo
Kemea na walaumu akina Pengo, Mzee wa Upako na konyagi yake, Kakobe nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna askofu Tapeli mmoja wa WAPO international niliacha kumsikiliza, kuna Sikh alinichefua kwa mahubiri ya kipumbavu akidhani watu wote in mazwazwa, anajidai ana roho mtakakatifu. Bure kabisa haya makanisaNi kiri wazi mimi nina imani kali sana unapozungumzia Mungu au Yesu kristo, Ni moja kati ya watu ninaoamini Mungu yupo na sisi sote ni mali yake.
Lakini taratibu nimeanza kuwa mtoro kanisani, si kwamba siombi Mungu. Hapana, Namwomba Mungu lakini nikiwa nyumbani au popote nitembeapo kimya kimya.
Kwanini nasema imani yangu imeporomoka juu ya makanisa. Nimeshuudia viongozi wa dini wakila kuku ikulu huku wakiambiwa na Rais mikutano ya ndani haijakatazwa nao wakashangilia bila ku challenge chochote, Huku chadema wakiwa wamekatazwa kufanya mikutano yao ya ndani mara nyingi na Ccm wakiifanya kila uchwao tena mpaka ya adhara.
Hili viongozi wahubiri haki hawalioni, Mtakumbuka Rais mara kadhaa ametuambia mikutano ya ndani ni ruksa lakini imebaki ruksa ya mdomo, Pale vyama pinzani wakitaka kuifanya inasambaratishwa.
Hawa viongozi wa dini hawaoni? Nini kimewapofusha kiasi kikubwa namna hii, Maandiko yamebadilika? Leo nimeshuudia ACT wakinyimwa kufanya mkutano wao wa ndani, Tena kwa sababu dhaifu mno aliyoitoa mambosasa. Lakini Lipumba na ndugai wakiwa na mikutano aina hiyo hiyo ikipatiwa baraka zote na polisi.
Hizi ndimi mbili na ukimya juu ya dhuluma na ubaguzi ukiendelea, kwa viongozi wangu wa dini.Nimalizapo kwaresma na kanisa kwangu litakuwa bye bye. Nitalipinga hata kwa maombi.”
Nitaendelea kumwomba Mungu wangu bila kwenda kuwasikikiza Mapadri au Maaskofu wasioweza kukemea dhuluma na kutete haki za waamini.
Na hili sio kwangu tu, Kanisa lisipo badilika yatabaki kama makumbusho kama huko ulaya, Au watabaki vikongwe tu.
Ni Yesu yupi mnamuhubiri kama yote yatendekayo hamyaoni?
Hivi dhambi ni kuzini tu? Badilikeni kabla waamini hawajabadilika.
Na waraka wa kwaresma wa mwaka huu? Wameendelea kukemea au wameridhika hali imekuwa shwari?Soma waraka wa Kwaresima wa Baraza la Maaskofu wa kanisa Katoliki wa mwaka jana. Ulikemea ubinywaji wa demokrasia, kupotea watu na kutekwa na watu wasiojulikana.
Ni ule Waraka ambao Polycarp Pengo aliupinga na kuwageuka maaskofu wenzake.
Ukishamaliza kuusoma karibu kwenye kanisa Katoliki na kama upo hapo D'Salaam basi ameshakuja aliyeshiriki kuuandaa ule Waraka, Askofu Ruwa'ichi.
Hopeless kabisa kwani wewe unaenda kanisani kwa ajili ya mapadri au maaskofu??! Tena uondoke kabisa milele hujui hata maana ya kanisa na kwa nini unaenda kanisani. Umeni bore sana mkuu!!
Washauri viongozi wako muanzishe makanisa na misikiti itakayokuwa ikifanya yatakayokuwa yakiwafurahisha CDM. After all ukihudhuria ama kutohudhuria kanisani ni nani atajali? Labda family yako kama unayo.
Tena umenena umenena Sawa kabisa.Watanzania aisee.Why this?
Nchi imekuwa ya hovyo kabisa,watu wanakandamizwa halafu et viongoz wa dini wapo na wanashirikiana na wakandamizaji.
Naiona Algeria na Venezuela Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
.....Si makanisa tu hata misikiti, kumejaa masheikh ubwabwa tu wameamua kumkumbatia huyu dikteta na dhalimu na hivyo kufumbia macho maovu yake ya kutisha ukiondoa Sheikh Ponda tu.
Brother nilikuasijapatakumwona shetani lkn kupitia hawaviongozi wadini nimeweza kumwona shetani halisi. kwani wanasifa zote zashetani niwaongo niwanafki wanapenda anasa daima wapoupande wakaisari hawaoni maovu waumini waotunayo fanyiwa.yaani sadaka ndio lengolao.kanisa sikuhizi limekua pango lawanyanganyi.Ni kiri wazi mimi nina imani kali sana unapozungumzia Mungu au Yesu kristo, Ni moja kati ya watu ninaoamini Mungu yupo na sisi sote ni mali yake.
Lakini taratibu nimeanza kuwa mtoro kanisani, si kwamba siombi Mungu. Hapana, Namwomba Mungu lakini nikiwa nyumbani au popote nitembeapo kimya kimya.
Kwanini nasema imani yangu imeporomoka juu ya makanisa. Nimeshuudia viongozi wa dini wakila kuku ikulu huku wakiambiwa na Rais mikutano ya ndani haijakatazwa nao wakashangilia bila ku challenge chochote, Huku chadema wakiwa wamekatazwa kufanya mikutano yao ya ndani mara nyingi na Ccm wakiifanya kila uchwao tena mpaka ya adhara.
Hili viongozi wahubiri haki hawalioni, Mtakumbuka Rais mara kadhaa ametuambia mikutano ya ndani ni ruksa lakini imebaki ruksa ya mdomo, Pale vyama pinzani wakitaka kuifanya inasambaratishwa.
Hawa viongozi wa dini hawaoni? Nini kimewapofusha kiasi kikubwa namna hii, Maandiko yamebadilika? Leo nimeshuudia ACT wakinyimwa kufanya mkutano wao wa ndani, Tena kwa sababu dhaifu mno aliyoitoa mambosasa. Lakini Lipumba na ndugai wakiwa na mikutano aina hiyo hiyo ikipatiwa baraka zote na polisi.
Hizi ndimi mbili na ukimya juu ya dhuluma na ubaguzi ukiendelea, kwa viongozi wangu wa dini.Nimalizapo kwaresma na kanisa kwangu litakuwa bye bye. Nitalipinga hata kwa maombi.”
Nitaendelea kumwomba Mungu wangu bila kwenda kuwasikikiza Mapadri au Maaskofu wasioweza kukemea dhuluma na kutete haki za waamini.
Na hili sio kwangu tu, Kanisa lisipo badilika yatabaki kama makumbusho kama huko ulaya, Au watabaki vikongwe tu.
Ni Yesu yupi mnamuhubiri kama yote yatendekayo hamyaoni?
Hivi dhambi ni kuzini tu? Badilikeni kabla waamini hawajabadilika.
Hopeless kabisa kwani wewe unaenda kanisani kwa ajili ya mapadri au maaskofu??! Tena uondoke kabisa milele hujui hata maana ya kanisa na kwa nini unaenda kanisani. Umeni bore sana mkuu!!
Nimeshuudia viongozi wa dini wakila kuku ikulu huku wakiambiwa na Rais mikutano ya ndani haijakatazwa nao wakashangilia bila ku challenge chochote, Huku chadema wakiwa wamekatazwa kufanya mikutano yao ya ndani mara nyingi na Ccm wakiifanya kila uchwao tena mpaka ya adhara.
Hili viongozi wahubiri haki hawalioni, Mtakumbuka Rais mara kadhaa ametuambia mikutano ya ndani ni ruksa lakini imebaki ruksa ya mdomo, Pale vyama pinzani wakitaka kuifanya inasambaratishwa.
Hawa viongozi wa dini hawaoni? Nini kimewapofusha kiasi kikubwa namna hii, Maandiko yamebadilika? Leo nimeshuudia ACT wakinyimwa kufanya mkutano wao wa ndani, Tena kwa sababu dhaifu mno aliyoitoa mambosasa. Lakini Lipumba na ndugai wakiwa na mikutano aina hiyo hiyo ikipatiwa baraka zote na polisi.
Nitalipinga hata kwa maombi.”