kindikwili
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 1,862
- 2,876
Unataka nchi iharibike mara ngapi! Viongozi wa dini ni wachumia tumbo tu hawana lolote. Ni wasabato pekee ndio hawaruhusu ujinga huo makanisani kwao kwa sababu hawategemei misaada ya serikali na wanasiasa kuendesha mambo yao
Mwadhama Cardinal Polycarp Pengo.
Uliza Wakatoliki juu ya hicho cheo watakuelekeza wadhifa alionao Cardinal Pengo.
Kanisa Katoliki ni Kanisa makini sana, kuiga au kuruhusu mambo yasiyofaa yanayofanywa na Imani zingine si vema.Kwan wale waliopewa nafasi ya kuongea kanisani Roma wakaanza kuponda kuhusu rc mpka wakachapwa viboko walikua wanasiasa? Hujawahi kumuona lipumba akipewa nafasi ya kuwasalimu waumini msikitini? Naona safari hii mmejipanga kulichafua kanisa
Mmeanza..!Asante Mkuu BAFA.
Kuna wakati nadhani JK baadhi ya mambo aliandamwa kwa sababu ya Imani yake na siyo utendaji wake.
Kwa ujumla ufikapo kanisani au msikitini ile hadhira ina watu tofauti na wenye maono tofauti katika uwanja wa siasa. Ukiingia kanisani au msikitini utakutana na wanachama wa CDM, CCM, CUF, NCCR, TADEA etc. Na wao wamejumika pale kufata ibada na sio siasa, kwa hiyo jambo lolote la kisiasa litawafanya watoke kwenye ibada na kuingia kwenye karaha na kuanza kutengeneza hisia tofauti na kumkaribisha shetani. Kwa ujumla ni kweli kabisa watu wa dini wajiepusha na itikadi za kisiasa.Asante KWEZISHO,
Hapa najaribu kuepusha migongano ya kidini hapo baadae. Kama mwanasiasa anaona ni muhimu kutoa taarifa zake za kisiasa basi aruhusu mikutano ya siasa au kuwe na press conference au kuwe na hotuba maalumu.
Umenena vema.Kwa ujumla ufikapo kanisani au msikitini ile hadhira ina watu tofauti na wenye maono tofauti katika uwanja wa siasa. Ukiingia kanisani au msikitini utakutana na wanachama wa CDM, CCM, CUF, NCCR, TADEA etc. Na wao wamejumika pale kufata ibada na sio siasa, kwa hiyo jambo lolote la kisiasa litawafanya watoke kwenye ibada na kuingia kwenye karaha na kuanza kutengeneza hisia tofauti na kumkaribisha shetani. Kwa ujumla ni kweli kabisa watu wa dini wajiepusha na itikadi za kisiasa.
ha ha ha ha, ukinyoosha kidole kimoja vinne vinakunyoshea wewe! anagalia hapa MICHUZI BLOG: Harambee ya Ujenzi wa Shule ya Sekondari Gambosi wilayani BariadiUnataka nchi iharibike mara ngapi! Viongozi wa dini ni wachumia tumbo tu hawana lolote. Ni wasabato pekee ndio hawaruhusu ujinga huo makanisani kwao kwa sababu hawategemei misaada ya serikali na wanasiasa kuendesha mambo yao
Thibitisha pasipo shaka kuwa bosi wa Kilaini ni Pengo la sivyo hujuujui uongozi wa kanisa Katoliki Mkuu.Bosi wa Kilaini ni Pengo. Ukiona bosi yupo kimya ina maana
1. Alimpata mgao
au
2. Amekubaliana na hiyo hali
Tofautisha hivi vyeo ndani ya Kanisa Katoliki.Thibitisha pasipo shaka kuwa bosi wa Kilaini ni Pengo la sivyo hujuujui uongozi wa kanisa Katoliki Mkuu.