kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,497
- 5,198
Man... Embu rudi shuleSijaona mahali pameandikwa Roman Catholic.Mwamba ngozi huvutia kwake.
Swali: "Kanisa ni nini?"
Jibu: Watu wengi siku hizi wanaelewa kanisa kumaanisha jengo. Neno “kanisa” maana ya asili yatoka kwa neno la Kiyunani ekklesia lili lo na maana ya “kusanyiko” au “walioitwa.” Maana ya asili ya “kanisa” sio ile ya jengo, bali ni watu.
Mtume Petro wanadai ndio papa wa kwanza.
Swali: "Kanisa ni nini?"
Haya ni mawazo huru CHADEMA inaingiaje hapa ficha upumbavu wako.Chadema endeleeni kutumia dini kuhalarisha uropokaji wenu.
Leo mnajifanya wasemaji wa waislamu kwamba wanateswa na kanisa
sawa
mnachotafuta hakiwezekani kwa nchi ya tanzania
Hahaha nani wa kurudi shule mimi au wewe.Man... Embu rudi shule
Kujiridhisha kwamba Yesu hakulianzisha Takatifu Katoliki angalia na sikiliza kwa makini kinachosemwa ndani ya hii video. Unaweza kujifunza kitu muhimu sana.Unaandika huku unajazba...Ila Moja Takatifu Katoliki lipo tangu Yesu alipolianzisha mwenyewe
Kanisa Katoliki halijawahi kuvunjwa vunjwa wala haitokaa itokee...
Yalivunjika ni hayo ukiyoyataja ..maana walikuwa KKKT na Mwanzilishi wao...ila nini kilitokea baada ya hapo...leo tuna makanisa zaidi ya laki moja..
Ila Moja Takatifu Katoliki lipo tangu Yesu alipolianzisha mwenyewe
Kanisa Katoliki walisaidia sana kulinda amani ya nchi ya Rwanda. Waulizeni wananchi wa Rwanda.Ikiwa suala la amani ni moja ya majukumu yenu kuhakikisha amani inakuwepo katika nchi lakini kwa kipindi kirefu sasa tunaona kama viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vipo tena vingi sana na vinaonekana waziwazi.
Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna jambo halipo sawa, hivi kule ambapo Amani ilitoweka ilikua ni tukio la ghafla au ilikuwa ni mwendelezo wa kutojari concern za watu? hivi mnavyofanya ndivyo matatizo yaliyoleteleza machafuko duniani yalivyo anza.
Mnapo ona chombo Kama bunge kinatumika kupora HAKI za wananchi kwa Spika kutumia nafsi yake atakavyo na wala si sheria inavyoelekeza hili sio jambo dogo nduguzanguni.
...
Nimalizie kwa kuasa kwamba kwa kua mlikaa kimya wakati wa viashiria kamwe msijejitokeza wakati wa kusaka ushuruhishi pindi mambo yakishafika huko maana mtaonekana wazi kwamba nyie ni wanafiki.
Mwenye masikio na asikie
Ni waongo,upapa uliibuka nyakati za Mfalme Constantine,miaka ya 400AD.Kabla ya hapo maaskofu wote wa diosis tano walikuwa sawa.Constantnopole,Athens,Roma,Alexandria na Jerusalem.Yule wa Roma baada ya kupata sapoti ya Watawala wa kirumi akaanza kujiita papa yaan baba,wakampinga wale wengne ndo upatanisho wa Nikea(Niece) baadaye aliposisitiza ukuu wake kanisa likameguka mara mbili ndo ,Ikazaliwa Roman Catholic hii na Eastern Othordox.Mtume Petro wanadai ndio papa wa kwanza.
Kwa kukujulisha tuu,dhana ya kutenganisha dinibna siasa ni dhana tuu isiyo nabuhalisia.Dini na siasa huenda pamoja na vikipingana jamii hukosa uimara na utulivu.hivi vitu ni pande mbili za sarafu moja.Hili ni jukwaa la Siasa.
Udini unakuja vipi humu?
Kwenye Red! Nimekuelewa maana umeandika KikikuyuKwa kukujulisha tuu,dhana ya kutenganisha dinibna siasa ni dhana tuu isiyo nabuhalisia.Dini na siasa huenda pamoja na vikipingana jamii hukosa uimara na utulivu.hivi vitu ni pande mbili za sarafu moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada umemuelewa?Hata Tanzania kanisa hili lilimbana nyerere asiruhusu dini za walokole,na mashirika ya kidini zaidi ya BAKWATA,hata shida za wazanzibari nyingi chanzo ni hawa,wanahofia eti Zanzibar itaongeza nguvu ya kusambaa kwa uislamu tanzania bara