johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,844
- 145,858
Kanisa Anglikana dayosisi ya Dsm leo limefanya uchaguzi wa Askofu wake na kufanikiwa kumchagua Padre Sosthenes kuwa Askofu mpya anayechukua nafasi ya Dr Mokiwa aliyetumbuliwa. Source mimi mwenyewe kutoka ukumbi wa Kanisa kuu hapa St Alban - Upanga!