Kanisa Anglikana dayosisi ya Dsm yapata Askofu mpya anayemrithi Dr Mokiwa

Mokiwa hawezi kuavhia hicho cheo hivi hivi labda kwa mtutu wa bunduki. Mokiwa ni mafioso
 
Mwenye wasifu wa baba askofu mteule atuwekee hapa ili tuweze kufuatilia kwa uzuri...itapendeza sana.
 
Suala sio uswahili Bali ni asili ya kanisa au makanisa yote ya protestant ambapo Uhuru wa kuongea na kuhoji ni kitu cha kawaida kuliko huko uliko ambapo hakuna Uhuru was kuhoji, kila kitu ni tawire utafikiri uko kwa mganga wa kienyeji.
Kama Uhuru wa kuongea kweli upo mbona tunashuhudia matumizi ya nguvu zinazopita kiasi kwa waumini na wakrelo dhidi ya viongozi wao wasio waadilifu? Mbona hamyamalizi mezani kama kweli mnasikilizana? ( rejea ya dar, mwanza, bukoba, Dodoma nk.) Tena kuhusu asili ya Anglican huko usiende, ni kuchafu mno.
 
Kuzaliwa kwa Anglikana na kisa cha mfalme Henry VIII dhidi ya Papa Clement VII kukataa kuruhusu talaka.
 
Kama Uhuru wa kuongea kweli upo mbona tunashuhudia matumizi ya nguvu zinazopita kiasi kwa waumini na wakrelo dhidi ya viongozi wao wasio waadilifu? Mbona hamyamalizi mezani kama kweli mnasikilizana? ( rejea ya dar, mwanza, bukoba, Dodoma nk.) Tena kuhusu asili ya Anglican huko usiende, ni kuchafu mno.
Mkuu kuhusu suala la uchafu ni bora ukae kimya hakuna kuliko kusafi, kumbuka utakavyomnyooshea mwenzio kidole vingine vinakuelekea mwenyewe.
 
Back
Top Bottom