Kaniomba nimsindikize kwake alichonifanyia sitasahau

Ukiwa na ndinga unawanasa hawa viumbe kiulaini sana aisee yaani kama ulimbo vile wala hutumii nguvu .

Kama una gari una gari na mwana mke kakukataa jua ana bwana mwenye gari zuri zaidi yako other wise una pigs mashine
 
Unahitajika haraka muswada wa kuacha kurasimisha mahusiano.
Urasimishaji hauna maana tena.
Tuwaige mbwa tu.
 
Ilikua kwake. Niliondoka saa tisa usiku na mvua kubwa inanyesha. Likiona mpaka kesho linanichekea.
Mzigua90 saa9 usiku kweli upo nyumbani kwa mwanaume? Daaa ndio mana sipendagi msichana wangu awe na urafiki na mwanaume.. Hivi unategemea nini hata kama ingekuwa Mimi na unavutia ningetaka mzigo tu..


Duuu saa 9 usiku si muda wa chakula kabisa huo tena mvua inanyesha.
Ulichofanya kumnyima mwenzio ni uchoyo...
 
Kuna jirani yangu ni dereva yaani kila siku wanawake tofauti, madereva Mungu anawaona, wanawake nao wanapenda magari kama watoto!
 
Tangu lini mtembea kwa miguu akampa kampani ya kwenda sehemu mtu mwenye gari?!

Mwambie huyo jamaa aliye kukula aje Etina bar kuna Heineken zake 20 nimelipia.
 
Yaani mimba inakupa hofu hivyo kuliko "ngoma" duuuh!!

Halafu nikuulize swali,je,angekuwa kwa miguu(tz 11) ungekubali kumsindikiza???
 
Jamii za kiafrika matatizo sana. Mtu anaripoti amebakwa watu wanachekelea.

Wenzetu wanawasulubisha wakina Harvey Weinstein sisi huku hatuna habari na hatujui sheria
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom