Kaniita 'check bobu'. Maana yake nini?

kiizarob

Member
Sep 13, 2017
40
21
Habari wana JF hope mko vizuri.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna mama mmoja hapa mtaani from nowhere kaniita chek bobu, nimeumiza sana kichwa kujua maana ya hilo jina ila nikakumbuka kuwa kuna wana JF wanaweza kunisaidia maana ya CHEK BOBU. Naomba msaada wadau ili nieendelee kudadavua uyu maza ananichukuliaje
 
HAHAA HUYOOO MOTHER KWANZA HAJATULIA KUNA ANACHO KITAFUTA TOKA KWAKO MKUU ...MAAANA YAONYESHA ANATKA UMCHUKULIE KAMA MSHIKAJI TU TENA IKIBIDI HATA STORY ZENU MTAKAZO KUWA MNAPIGA ZIWE NI ZILE ZA DIRT TALKING"""

SASA NGOJA NIENDE KWENYE MAANA HALISI YA KWENYE NENO CHECK BOB"" NIMSEMO UNAOLETA MANTIK YA MISAMIATI SAWA KAMA""" BISHOO""MTANASHATI""TOZI" BROTHER MAN" NA MISEMO YOTE ILE AMBAYO INABEBA WASIFU WAKIJANA MWENYE SIFA ZA KWENDA NA WAKATI (MTOTO WA MJINI)
 
Nimeelewa mkuu, ubarikiwe
 
Kumbe humu watoto mpo wengi sana. Chek bob ni mtu muhuni, kibaka, mvuta bange na mambo kama hayo
 
Check Bob... Ni MSEMO wa vijana wa zamani miaka 1980..... Means ni MVULANA anayejipenda,,,, ni kama neno mtanashati......
 
MAANA HALISI YA CHEKI BOB(CHECK BOB) NI YULE MDUDU KIVIRINGISHA MAVI. MAANA NYENGINE NI NGAZI NDOGO WANATUMIA MABAHARIA KUAPANDIA JUU KUCHUNGULIA AU KANGALIA KITU HUMO NDANI YA MELI
Vijana wa mjini wanaojiita Nashua hona raha kuitwa CHECKBOB au kiviringisha mavi au ngazi inayopandiwa na manahodha melini
 
Back
Top Bottom