Umetongoza mno siriaz. Mdada anahisi mkiwa wapenzi yatakuwa siriaz mno. Unatongoza kwa vituo kama unaomba kazi ikulu?!!!
hahaaaaa, nimeipenda hiyo- ila kutongozwa raha kweli teh teh teh.
Umetongoza mno siriaz. Mdada anahisi mkiwa wapenzi yatakuwa siriaz mno. Unatongoza kwa vituo kama unaomba kazi ikulu?!!!
You better change, utakosa wengi kwa style hii ya kindergaten...
Ni rafiki yangu toka o'level, hatujawahi kwaruzana wala kupishana kauli. Kwa kipindi chote nimejitahidi kumuonesha kwa vitendo kwamba namjali na kumpenda. Miaka imepita tukiwa marafiki na nimeweza kumfahamu vizuri kitabia. Hivi majuzi niliamua kuvunja ukimya, na nimwandikia hivi "naomba unielewe ninachotaka kusema, sidhani kama itakuwa busara kwangu kumung'unya maneno, kwa kifupi nakuhitaji uwe mpenzi wangu, sisemi haya kwa bahati mbaya kwani najua nini nafanya na kumaanisha. Kumbuka ni ngumu kuukwepa ukweli, hata nisingesema leo basi ningesema kesho, naomba hekima na busara itawale maamuzi yako".....toka nimemtumia hiyo text kauchuna kimya wakati siyo tabia yake, sifikiri kama nimekosea kumwambia niliyomwambia, lakin nifanyeje ili nimlete katika mud yake ya mwanzo, maana nahisi hata urafik unaweza kwisha. Ushaur wenu wadau unahitajika.
tatizo bro ume2mia njia ya kitoto sana tena sana,demu huwa anatongozwa fac 2 fac cz ukitumia njia ya cmu tena sms unamfanya ajiamini na anaweza kukujibu chochote tofauti mkiwa ana kwa ana huwa hana ujanja sana.so dnt never gv u bro.ok uc2mie tena njia hyo ya kitoto we m2mzima
Wewe umejuaje kama ni mtu mzima inawezekana bado mtoto/mvulana. Refer thread ya Boss kuhusu tofauti kati ya Mwanaume na Mvulana.
Anatafakari majibu sahihi ya kukupa. Na usitegemee ataendelea na utaratibu wa mawasiliano kama ilivyokuwa zamani kwa sababu kwa ujumbe wako huu unapendekeza mabadiliko ya hadidu za rejea za mahusiano yenu.
mwaona raha ati, ila haya mambo huwageukia baadayehahaaaaa, nimeipenda hiyo- ila kutongozwa raha kweli teh teh teh.
Acha woga wewe, mtoto wa kiume lazima ujiamini. Umefanya upumbavu kumtumia sms kqa issue muhimu kama hiyo, ulipaswa kutafuta muda wa kutosha umtoe outing ya nguvu mnaenda sehemu tulivu then mnakaa na kuongea vizuri mkiwa mmetulia sehemu isiyo na bughudha then unaongea naye vizuri kwa kujiamini huku ukimtazama usoni.
Ktk hayo maongezi yenu jitahidi sana kumhakikishia juu ya mustakabali wa maisha yake ya baadaye ktk uhusiano wenu, hayo mambo kwao ni muhimu sana.
Kuwa kwake kimya kusikutishe, huenda amepatwa na mshtuko coz haamini kama uko serious ama lah, na pia njia ulotumia ni ya kitoto zaidi inamfanya akuone kuwa hauko serious. Kama unaweza mpigie simu.
mkuu umenena,kama vp amuombe watoke,then amchane live face to face.
haya mambo ya kutongoza kwa sms dah, kama watoto wa primary bana
kuna mdau kasema hapa., kutongoza hakuna formulaSasa wakuu kama mnaishi maeneo ambayo ni mbali inakuwaje( Liwale na Mtukula)
upo kwenye mzani wewe chuna na wewe uone cha moto, anakupima huyo
cku nyingne jifunze kutongoza kwa mdomo co text upo ili ujue na mud ya mtu
Pole,vp matokeo kaka!j2 inazidi kuisha au mtaonana nite muongee
pole mkuu! weulitegemea atakuwa hana mtu? anyway usibadilike sasa wewe endeleza urafiki wenu kama kawa! usioneshe kumchunia! ila pole!somo halijaeleweka wangu, eti nimewaiwa
pole mkuu! weulitegemea atakuwa hana mtu? anyway usibadilike sasa wewe endeleza urafiki wenu kama kawa! usioneshe kumchunia! ila pole!
Mimi bado mgeni humu JF napita 2 kuwajulia hali, ila nyie ni noma aisee!