Kanichunia baada ya kumwambia namuhitaji awe mpenzi wangu.....

Wakuu hakika mmenipa changamoto za kutosha na niwashukuruni sana, nimeongea naye dakika chache zilizopita. Tumepanga tukutane kwa maongezi zaidi, japo amedai nimempa wakati mgumu na anahoji nilikuwa wapi miaka yote.
 
Si unaona sasa mkuu, ungeumia bure kwa mawazo, angalau sasa umepata ahueni. Sasa jipange kidume uandae hoja za maana.
 
Si unaona sasa mkuu, ungeumia bure kwa mawazo, angalau sasa umepata ahueni. Sasa jipange kidume uandae hoja za maana.

umeona ehh... siku zote wanaotongoza online & kwenye sms .. mi nawaona kama waoga
 
tatizo bro ume2mia njia ya kitoto sana tena sana,demu huwa anatongozwa fac 2 fac cz ukitumia njia ya cmu tena sms unamfanya ajiamini na anaweza kukujibu chochote tofauti mkiwa ana kwa ana huwa hana ujanja sana.so dnt never gv u bro.ok uc2mie tena njia hyo ya kitoto we m2mzima
 
Kaka, kuna watu hutakiwi kuwatongoza, never! na ukiwatongoza hakikisha wanakubali. Hao watu ni:
  1. Your best friend
  2. your worse enemy
  3. your best friend partner
  4. your worse enemy partner
  5. your boss
  6. your mama's best friend
Ukitongoza hapo na ukataliwe either unapoteza uhusiano nao, or wanakusema kwa watu na unapoteza uhusiano na watu wa karibu, or worse, wanaku nyima raha (enemies and boss). Sasa mradi umesha anza, hakikisha you make it all the way through...
 
ulichokosea ni sms

inapaswa kuwa 'live' lakini usiwe too serious..
 
Acha woga wewe, mtoto wa kiume lazima ujiamini. Umefanya upumbavu kumtumia sms kqa issue muhimu kama hiyo, ulipaswa kutafuta muda wa kutosha umtoe outing ya nguvu mnaenda sehemu tulivu then mnakaa na kuongea vizuri mkiwa mmetulia sehemu isiyo na bughudha then unaongea naye vizuri kwa kujiamini huku ukimtazama usoni.
Ktk hayo maongezi yenu jitahidi sana kumhakikishia juu ya mustakabali wa maisha yake ya baadaye ktk uhusiano wenu, hayo mambo kwao ni muhimu sana.
Kuwa kwake kimya kusikutishe, huenda amepatwa na mshtuko coz haamini kama uko serious ama lah, na pia njia ulotumia ni ya kitoto zaidi inamfanya akuone kuwa hauko serious. Kama unaweza mpigie simu.

wewe wacha kukremisha kutongoza hamna formula...
 
tindikali.... nimeongea naye dakika chache zilizopita. Tumepanga tukutane kwa maongezi ...amedai nimempa wakati mgumu na anahoji nilikuwa wapi miaka yote.[/QUOTE said:
Mdogo wangu, nakutakia heri ila jiandae kwa majibu yoyote. Hofu yangu ni kuwa huenda ana mtu tayari na kazi yako ni kuprove you are the best. Ukweli ni kuwa kwa wadada mnapokuwa marafiki kwa muda mrefu bila kumwambia feelings zako unakuwa kama ndugu kwake.
Pia huenda alisubiri kauli yako muda mrefu lkn hukuonyesha kuwa na interst.
 
Ni rafiki yangu toka o'level, hatujawahi kwaruzana wala kupishana kauli. Kwa kipindi chote nimejitahidi kumuonesha kwa vitendo kwamba namjali na kumpenda. Miaka imepita tukiwa marafiki na nimeweza kumfahamu vizuri kitabia. Hivi majuzi niliamua kuvunja ukimya, na nimwandikia hivi "naomba unielewe ninachotaka kusema, sidhani kama itakuwa busara kwangu kumung'unya
maneno, kwa kifupi nakuhitaji uwe mpenzi wangu, sisemi haya kwa bahati mbaya kwani najua nini nafanya na
kumaanisha. Kumbuka ni ngumu kuukwepa ukweli, hata nisingesema leo basi ningesema kesho, naomba hekima na busara itawale maamuzi yako".....toka nimemtumia hiyo text kauchuna kimya wakati siyo tabia yake, sifikiri kama nimekosea kumwambia niliyomwambia, lakin nifanyeje ili
nimlete katika mud yake ya mwanzo, maana nahisi hata urafik unaweza kwisha. Ushaur wenu wadau unahitajika.

Timing, timing.... kila siku tunasema hapa, too early or too late is very bad kumtongoza demu, meaning inategemea na demu mwenyewe, wako wale wa maharage ya mbeya hao hawafai leo leo unakula mzigo sio hao naongelea, nasema mwanamke anayejiheshimu ukimtaka usiwahii sana au kuchelewa sana kumtongoza, sijui niseme vipi kuhusu timing ya kumtongoza na kumpata, mm najua, pia ushapu wa mwanaume, if u gooooo around the bush saaana humpati demu, SO THEIR IS A TIME WHEN U KICK A BALL U SCORE A GOAL, hapa ndio utundu unatakiwa, ndicho nisemacho, hapa demu hachomoi, kwani nitakuwa nimeshamandaa kisaikolojia sometime, kumfurahidha kwa vitu vidogo vidogo, then msupport, feel her, usichukue muuuda hapa, then shooot kumtongoza, kwani mazingira kabla hata ya kumwambia utayaona yamekamilika, then akikubali usichukue muda hata same day kaleeeee mzigo, tunawafundisha daily bana, gday
 
duh we mkaree
 
Usimshobokee sana kana kwamba wewe tu ndo unahitaji mke, hata yeye anahitaji mume. Jifanye kama hauoni hivi na isiwe siriazi kihivyooooooooooooooo. Jaribu kumpigia simu wakati ambao unajua atakua na utulivu na uwe umeweka salio la kutosha kabisha.Muulize kama ujumbe wako kaupata.
Kama kaupata, mwambie akupe jibu, kama akisema hataki mwambie unamuhitaji kama mke huku ukimuonyesha future yenu mkiwa wawili na unampa muda wa kufikiria hilo. Usiwe na haraka wala papara mkuu.
Kama atavunga hajaupata, mweleze moja kwa moja lengo lako na ukimuonyesha future yenu mkiwa wawili na unampa muda wa kufikiria hilo. Usiwe na haraka wala papara mkuu.

Hilo litamsumbua kichwa kwa muda mrefu, then atakukubalia tu.

Kama kweli unahitaji kumuoa, mbona utampata tuu.

Goodlucky
 
Wala hujakosea ndugu yangu kutongoza hakuna formula wala nini ni kawaida kwa mwanamke kurespond kama alivyofanya kwa sababu umempatia ujumbe bila kumuandaa..anyway kama kasema atatafuta mda wa kuongea na wewe fanya hivi umombe msamaha kwa kitendo hicho kisha mwambie ni mapenzi na hisia juu yako ndio vlivyosababisha kumwambia hayo toka moyoni mwako..sisitiza uampenda sana na akusamehe kwa hilo ila pia umwambie uko tayari kusubiria mbaka pale atakapodhani ni mda mwafaka kwa yeye kuweza kuuteka moyo wake na kukubaliana na hisia zako..ataakuelewa na nadhani atakukubalia bila hata kipingamizi..jaribu wala hujakosea ndugu!!!
 
Back
Top Bottom