KING ASSENGA
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 929
- 1,500
Subhanallah!Apumzike kwa amani!Mwanaume anaevuta bangi ananisisimua sanaa, uwiiiiiih
Ameeeeeeeeen!!!!Subhanallah!Apumzike kwa amani!
[emoji23][emoji23][emoji23]Ameeeeeeeeen!!!!
Dear [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna umecheka sanaaa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifurahisha sana ulivyomuitikiaDear [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna umecheka sanaaa.
Sawaa tumekusikiaaaMwanaume anaevuta bangi ananisisimua sanaa, uwiiiiiih
Kati ya bange na demu nani alimkuta mwenzie??? Aliekuja mwishoni ndo aachike"Baby ili tuendelee na mahusiano acha kuvuta bange"" baada ya kuniambia hivyo nikamjibu tu kwa kifupi, ujue mpenzi nikivuta nakuona mzuri kuliko kawaida sio kama nisipovuta halafu nikiacha mchezo wetu wa kitandani sitacheza mpaka ile uombe poo vile.
Baby kwahiyo tulia, kuachika hakupo kwa mjanja 🤣 🤣
Wwe unazungumzia pombe au Jani! Hayo unayosema ni tabia za Walevi wa pombe!!Uvutaji uwe na kikomo kiumri.Siyo uvute tuuuu hadi uanze kufanya vibweka mbele za hadhara.Na kama una kichwa laini,usivute!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee acha tyuuh.Umenifurahisha sana ulivyomuitikia
Sawaaah!!!Sawaa tumekusikiaaa