Unahisi demu wako ni mmoja kati yetu humu?Wakuu
Chemistry ya wanawake inanishangaza sana.
Well saivi me ni jobless tu niko kitaa naunga unga maisha baada ya kuzinguana na aliyekua mwajiri wangu.
Sasa jana mtaani kwetu sikujua kama kulikua na operation ya police kukamata wazururaji na watu wanaokunywa pombe muda wa kazi.
Me kwenye saa 7 hivi mchana nikawa bar flani napiga safari lager zangu.mara nikaona raia wanatoka nduki sijakaa sawa police hao wakaniweka chini ya ulinzi tukafungwa mashati tukapakizwa kwenye cruza yao mpaka kituo cha police golani tukapewa mashtaka ya uzembe na uzururaji tukapigwa lock up.nikampigia the so called baby wangu aje anitoe au aniletee msosi akapotezea akasema nitajijua mwenyewe huko.
Basi asubuhi ya leo nikawacheck washkaji zangu flani wakaja pale wakanitoa lockup.
Mwanamke kasikia nimetoka ndani kanitumia ujumbe kuwa mimi na yeye basi hanitaki tena eti namtia aibu.
Ni sahihi wakuu?
Uliambiwa pombe ikinywewa usiku/gizani ndiyo hulewi?Mimi mwenyewe naisapoti, mtu huna kazi unakunywa pombe saa 7 mchana? Hizo ni akili au matope?
wanaangalia na location...kijana atakuwa na akaa uswazi mkuuHivi mbona bar mchana zinajaza na watu hawakamatwi? Au wanaangalia eneo na eneo?
Unatetea upuuzi, jamaa kasema hapo kwamba hana kazi (saa 7 mchana anafanya nini baa? Alikuwa anadanga?)Acha unoko, Dar es salaam watu wangapi wanategemea kazi za 9 to 5?
Kila mtu anapiga mishe zake tu, haya mambo ya kupangiana maisha hukohuko vijijini
Unatetea upuuzi, jamaa kasema hapo kwamba hana kazi (saa 7 mchana anafanya nini baa? Alikuwa anadanga?)
Hata kama mishe zako Ulinzi usiku kama unashindaa Baa saa 7 mchana then you're a loser aka lofa
Ni nadra kukutana mtu mwenye ratiba ya kipuuzi hivyo akafanya vya msingi maishani
Hii mada Inachekesha πWakuu
Chemistry ya wanawake inanishangaza sana.
Well saivi me ni jobless tu niko kitaa naunga unga maisha baada ya kuzinguana na aliyekua mwajiri wangu.
Sasa jana mtaani kwetu sikujua kama kulikua na operation ya police kukamata wazururaji na watu wanaokunywa pombe muda wa kazi.
Me kwenye saa 7 hivi mchana nikawa bar flani napiga safari lager zangu.mara nikaona raia wanatoka nduki sijakaa sawa police hao wakaniweka chini ya ulinzi tukafungwa mashati tukapakizwa kwenye cruza yao mpaka kituo cha police golani tukapewa mashtaka ya uzembe na uzururaji tukapigwa lock up.nikampigia the so called baby wangu aje anitoe au aniletee msosi akapotezea akasema nitajijua mwenyewe huko.
Basi asubuhi ya leo nikawacheck washkaji zangu flani wakaja pale wakanitoa lockup.
Mwanamke kasikia nimetoka ndani kanitumia ujumbe kuwa mimi na yeye basi hanitaki tena eti namtia aibu.
Ni sahihi wakuu?
Nimesoma Mada yake, Aisee inasikitisha sana π
Hata mimi hadi machozi yamenitokaπ₯²Nimesoma Mada yake, Aisee inasikitisha sana π
Mm nmelia sana, kuna wamama wamekuja kunibembeleza Ndo kwikwi inaishiaishia hapaHata mimi hadi machozi yamenitokaπ₯²
Pole sana kunywa glass ya maji baridiMm nmelia sana, kuna wamama wamekuja kunibembeleza Ndo kwikwi inaishiaishia hapa
Wamama waliniletea maziwa, Ndo nimepoa hapaPole sana kunywa glass ya maji baridi
Hapo sawa, hivi mkuu unashushaga nyuzi kweli wewe?Wamama waliniletea maziwa, Ndo nimepoa hapa
Ah ilikuaga kipindi kile ndo nmejiunga ndo nlkuwa naandika, Ila sasa hv siweki Uzi so n comment tuu πHapo sawa, hivi mkuu unashushaga nyuzi kweli wewe?
Pambana tafuta kazi Acha ulevi na uzembeWakuu
Chemistry ya wanawake inanishangaza sana.
Well saivi me ni jobless tu niko kitaa naunga unga maisha baada ya kuzinguana na aliyekua mwajiri wangu.
Sasa jana mtaani kwetu sikujua kama kulikua na operation ya police kukamata wazururaji na watu wanaokunywa pombe muda wa kazi.
Me kwenye saa 7 hivi mchana nikawa bar flani napiga safari lager zangu.mara nikaona raia wanatoka nduki sijakaa sawa police hao wakaniweka chini ya ulinzi tukafungwa mashati tukapakizwa kwenye cruza yao mpaka kituo cha police golani tukapewa mashtaka ya uzembe na uzururaji tukapigwa lock up.nikampigia the so called baby wangu aje anitoe au aniletee msosi akapotezea akasema nitajijua mwenyewe huko.
Basi asubuhi ya leo nikawacheck washkaji zangu flani wakaja pale wakanitoa lockup.
Mwanamke kasikia nimetoka ndani kanitumia ujumbe kuwa mimi na yeye basi hanitaki tena eti namtia aibu.
Ni sahihi wakuu?
Kama uling'atwa sehemu nyeti na mashangazi halafu ukamsimulia lazima uachwe.Wanawake ukiwaelewa wanataka nini nishtue πππ
Niliwahi kukataliwa kisa kovu tuu mzee