Tatizo baadhi mnasubiri ajira...ukiwa na kazi utaweza ku-access vitu kama chakula, makazi na maladhi kama huna kazi basi jua uwezi pata hizo basic needs mwisho wake umasikini
kanipa hasira sana maana ntapambana sana kwakweli nimeumiaKuwa na kazi, pesa amini usiamini kumefanya watu kuoana na kukosekana kwa hivyo wengi wameachana!
Kuna mtu anamuoa msichan flan kisha anakazi au anatokea familia bota lkn pia kuna wanawake wanaolewa kisa mwanaume flan ana kazi au pesa.
UMASIKINI MBAYA SANA!
Pambana siku moja aje anatembea kwa magoti...
Chukulia positive kuachwa ingiza wazo akilini kuwa yeye ndo alikuwa chanzo cha wewe kukosa hivyo simama kama wewe pambana...
Think positive blood[emoji848]
I like this [emoji1547][emoji1547][emoji1547]Siku ukiacha kufukuzia 'mwanamke', ukayafukuzia maisha, 'wanawake' watakufukuzia
Wipe your tears.
Let that teach you that she did not truly love you.
And let it inspire you to get up, brush off the dirt and keep moving by forward in life.
Asante.Karucee. Michango yako nailewa sana natumaini atakuwa kakuelewa na yeye...