Kangi Lugola: Ni Kweli Fedha za Escrow sio Fedha za Umma?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
Jana nilimsikiliza Mh. Kangi Lugola akisema fedha za ESCROW hazipaswi kuchunguzwa kwa sababu sio fedha za umma

Kibaya zaidi nilishtushwa jinsi alivyogeuka ghafla na kuanza kuwapamba Mawaziri ambao amekuwa akiwaita mizigo
 
Kwahiyo unamaanisha kwamba kuna nguvu ya Ziada imempooza Kangi?Nguvu gani hiyo?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Sijawahi kumuamini mtu yeyote mwenye kazi ya CCM,,, lazima ni mwizi Tu, awe Kangi, au Filikunjombe ni haohao. Hata mkeo kama ana kadi ya CCM chunga sana, ukizubaa tu anapigwa pipe na maCCM wenzie

Nakubaliana na kauli yako
 
Jana nilimsikiliza Mh. Kangi Lugola akisema fedha za ESCROW hazipaswi kuchunguzwa kwa sababu sio fedha za umma

Kibaya zaidi nilishtushwa jinsi alivyogeuka ghafla na kuanza kuwapamba Mawaziri ambao amekuwa akiwaita mizigo

Kishatuluzwa na hizo hizo fedha!ndiyo kazi ya ccm kufanya ufisadi na ili kuuficha,wanahonga au wanaku mgimwa
 
Amavubi tunapo weka mada ijadiliwe ni vema iwe imekamilika tuweze kujadili, naamini Kangi Lugora hskuishia tu kusem Fedha hiyo si ya umma, lazima alisema ni ya nani pia.

Pia kama wewe unadhani ilikuwa ya umma tufafanulie tujue lakini usibeze maelezo ya Kangi iwapo wewe huna majibu.
 
Jana nilimsikiliza Mh. Kangi Lugola akisema fedha za ESCROW hazipaswi kuchunguzwa kwa sababu sio fedha za umma

Kibaya zaidi nilishtushwa jinsi alivyogeuka ghafla na kuanza kuwapamba Mawaziri ambao amekuwa akiwaita mizigo
Je fedha zisipokuwa za Umma zinampa kibali CCM Kuiba???
 
....tayari.. unauliza ni nini? ashahaidiwa kafungu kake na timu kubwa || kwa kweli haileti sense nzuri mtu aliyekuwa kasimama kidedea ageuke ghafla na kuwa a very good close friend!
 
Ila mm sioni cha ajabu kabisa.
Lugola ni pro whitehead,na kwa mujibu wa hotuba ya upinzani,Whitehead alikuwa anaguswa kupitia Kupitia Richmond .
Huwezi kujiunga na fisadi alafu eti wewe ubaki safi.
 
Jana nilimsikiliza Mh. Kangi Lugola akisema fedha za ESCROW hazipaswi kuchunguzwa kwa sababu sio fedha za umma

Kibaya zaidi nilishtushwa jinsi alivyogeuka ghafla na kuanza kuwapamba Mawaziri ambao amekuwa akiwaita mizigo
Mbona Bunge la UK walijadili fedha za rada zilizokuwa za Tanzania na kuibiwa na UK kupitia BE System??
 
Hili jamaa halipendezei kabisa kuwa jinafiki kama lilivyofanya jana!Mi nilidhani Komba ameiga sauti ya Lugola!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kangi lugola ni kabila moja na muheshimiwa muhongo.... Mjita mwenzake.... haaaaa
Wamejipanga kuteteana
 
Acha watz tuendelee kuichekea CCM mwisho wake tusije tukakimbiana humu.. Kuna watu hata kama jambo lipo wazi watatetea ilimradi tu wawafurahishe mabwana zao! CCM imeshindwa na haiwezi tena kulipeleka hili taifa mbele
 
Mhe.Lugola Alishangaza aliposema kuwa pesa si za Serikali,lakini atawashudhulikia akina Muhongo wakibainika na CAG kuwa walihongwa.
Mtu atajiuliza atawashughulikia kwa kosa lisilo na maslahi ya umma.
 
Back
Top Bottom