nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,457
- 2,323
- Thread starter
- #61
Yani yuko sawa sana tu, mi pia namkubali sana
Kuna siku moja alimlipua waziri mkuu mstaafu mzee Pinda akimlaumu pamoja na vingo'ra vyote anavyopita navyo anashindwa kufanya maamuzi? Akasema sina imani na Waziri mkuu . Unakumbuka!