Kangi Lugola: CCM wanaweweseka

Kangi Lugola: CCM wanaweweseka

Yupo vizuri kiasi na kama anataka watanzania wamsamehe dhambi zake atoke ccm na kujiunga na chadema hapo atakuwa amesamehewa dhambi zake zote, vinginevyo atakuwa kwenye kundi hilo hilo la watenda dhambi.
 
Kangi Lugola is such a fickle, You can't put a trust on him by 100%,He will stab you in the back just like he did during the Bunge la Bajeti,wakati wa kuijadili bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini,I never trusted him ever since.
 
Kaka umesema kweli ni kubwa jinga hata mwibara wamememchoka

Kwa mpenzi na mtumwa wa ccm,lazima atamchafua Kangi Lugola.Mimi huyu jamaa namfahamu toka bado yuko mtwara police he is very strong man.
 
Umenena vema ndugu,huyu anatafuta ugali wa tumbo lake wala hana mpango wa kuwatetea wananchi.Ipo siku Mungu atamuumbua kwa matamshi yake aliyoyatoa kumshutumu Kafulira na kuwatetea IPTL /ESCROW),Muhongo na Maswi wake

Ujue Maswi anatoka musoma hivyo kwa Lugola kumtetea ni issue ya kawaida
 
Kangi Lugola is such a fickle, You can't put a trust on him by 100%,He will stab you in the back just like he did during the Bunge la Bajeti,wakati wa kuijadili bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini,I never trusted him ever since.

that's very true indeed....
 
Hata wanao hudhuria wengine ni sababu ya 300,000 la sivyo wange toka wengi maana kinacho fanyika ndani ya bunge ni madhambi matupu!
 
Kangi Lugola ni kubwa jinga anaependa media attention

Kangi Lugola yupo Jimboni kwake kutekeleza Ilani ya CCM.Swala la Katiba mpya halipo kwenye ilani ya CCM hivyo waliopo Dodoma wapo kwa ajili ya kupiga Pesa tu.
 
Back
Top Bottom