Kangi Lugola: CCM wanaweweseka

Kangi Lugola: CCM wanaweweseka

Kama ni hivyo basi Sugu haitaji kampeni Mbeya mjini kwa kuwa amevunja rekodi ya kipimbi bungeni.Wananchi wanahitaji kushughulikiwa kero zao zinazowakabili katika maisha yao ya kila siku kama elimu,maji na barabara sio mbunge kugeuka kuwa msema hovyo

Ni vizuri umeeongelea Mbeya ambako ni nyumbani kwetu,kwetu ni hapa sai,kwa taaarifa yako ndugu yangu hapa Mbeya sugu tumemkubali na 2015,niafadhali watu wa vyama vingine wasije kuchukua form kabisa
 
Samadi inakuwasha

Aaah aaaah! Dawa imeingia!!
Samadi si anayo mama mingoi kwani? mi kimbaombao!!! Tufafanulie ka ni bibi yako tukutake radhi kwa kukufananisha. Hoja ya msingi ccm mmefika njia panda sasa mmeanza kutawanyika. Habari ndio hiyo!!!
 
Ni vizuri umeeongelea Mbeya ambako ni nyumbani kwetu,kwetu ni hapa sai,kwa taaarifa yako ndugu yangu hapa Mbeya sugu tumemkubali na 2015,niafadhali watu wa vyama vingine wasije kuchukua form kabisa

Mpe mkuu hawa jamaa wanatabia ya kusema wasiyoyajua. Wamefundisha na Nape kupwayuka!!!!!
 
Ni vizuri umeeongelea Mbeya ambako ni nyumbani kwetu,kwetu ni hapa sai,kwa taaarifa yako ndugu yangu hapa Mbeya sugu tumemkubali na 2015,niafadhali watu wa vyama vingine wasije kuchukua form kabisa

Ndivyo unajitoa fahamu
 
Na kumbuka waswahili usema mwiba unakoingilia ndio unako tokea

Ujue pia ndugu yangu Kangi Lugola ccm hawawezi kumfanya lolote lile,kama ccm walishindwa kubaliki madiwani wa bukoba waliokwishatimuliwa na ccm mkoa,lakini makao makuu wakagwaya itakuwa The king Lugola?jaribu muone cha mtema kuni.
 
Kangi ni jembe,yeye na Filiku wana fit kuwakilisha majimbo yao kupitia chama chochote.
Waliobakia 2015 wana kazi kwel kwel.
 
Huyu mdogo wangu simwamini kabisa hasa baada ya kugeuka wananchi kwenye bajeti ya nishati na madini. Tangu hapo simwamini kabisa.
Umenena vema ndugu,huyu anatafuta ugali wa tumbo lake wala hana mpango wa kuwatetea wananchi.Ipo siku Mungu atamuumbua kwa matamshi yake aliyoyatoa kumshutumu Kafulira na kuwatetea IPTL /ESCROW),Muhongo na Maswi wake
 
Kuna wabunge hawawezi kabisa kuwapata bungeni...mtu kama Mo Dewji lini unamkalisha bungeni?
 
Kangi ni jembe,yeye na Filiku wana fit kuwakilisha majimbo yao kupitia chama chochote.Waliobakia 2015 wana kazi kwel kwel.
Kama ulisikilza bunge la Bajeti kwenye Wizara ya Nishati ,lazima ujue kuwa Kangi sio jembe wala nini yule hana lolote.
 
Wakuu,
Kangi bungen yupo ama hayupo ??????
Kama yupo,ni mnafiq period
 
Back
Top Bottom