Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,307
- 28,585
hahahahahahaMuulize kitimoto
Ungemuacha binti yako ungekuta wameshamtumbura muda sana,haha subir sasa azae hao ma hybridNyani ni mshenzi wa tabia yule mnyama ,kuna kipindi fulani Serengeti tulisahau kufunga madirisha basi wakaingia ndani halafu nadhani alikua anakung'uta kitu sealed kwenye kitanda chetu nikakuta mashuka yana damu ,halafu yenyewe yamekaa kwa mbali yana niangalia huku yana tabasamu kuwafukuza kwa hasira eti anaondoka huku anampiga miti mwenzie sijui ili nione wivu basi anakatika mwenyewe
hiyo picha ya 2 kule mlimani ni mtu, sanamu au jini??
Na bukini anaaangalia ushahidiHainaga ushemeji
We jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitimoto malaya