johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,528
NakaziaNatumaini hakuna malalamiko
Kwa haraka nimewaona Mzee Wasira, Waziri Bashungwa, Chacha Mwita Wambura, Askofu Gwajima, Dr Mabula nk nk
Hakika Mmetisha ila sisi Iringa tumetoa Namba 1 Mzee wa Nguzo na Namba 6 mstaafu Kasesela na sisi tumetisha sana!
Mlale unono!
Hahaha........ Kasesela anagombea ubunge Iringa Mjini 2025Mzee wa nguzo ni msukuma mzee bado mahenda analalia usukumani, kasesela kwao tukuyu iringa kajibanza tu hamna chenu
Huyono.Kwa haraka nimewaona Mzee Wasira, Waziri Bashungwa, Chacha Mwita Wambura, Askofu Gwajima, Dr Mabula nk nk
Hakika Mmetisha ila sisi Iringa tumetoa Namba 1 Mzee wa Nguzo na Namba 6 mstaafu Kasesela na sisi tumetisha sana!
Mlale unono!
Huyo number 1 ni mzaliwa wa Iringa?Au business tu zilimpeleka kule.Kwa haraka nimewaona Mzee Wasira, Waziri Bashungwa, Chacha Mwita Wambura, Askofu Gwajima, Dr Mabula nk nk
Hakika Mmetisha ila sisi Iringa tumetoa Namba 1 Mzee wa Nguzo na Namba 6 mstaafu Kasesela na sisi tumetisha sana!
Mlale unono!
Hahaha........ Kasesela anagombea ubunge Iringa Mjini 2025
Huyono.
Huyo number 1 ni mzaliwa wa Iringa?Au business tu zilimpeleka kule.
Na mimi kidogo nishangae,huyo kanda ya ziwa imembeba sana.Mzee wa nguzo ni msukuma mzee bado mahenda analalia usukumani, kasesela kwao tukuyu iringa kajibanza tu hamna chenu
Muhehe watampata wapi?Hilo atoe kichwani kwanza kwa vagaya sida hawezi kutoboa hata msigwa akirudia hawezi kutoboa jesca aende kwao ubenani pale 2025 wanataka muhehe mwenzao amini hilo
Na wewe kumbe ni mdini?Natumaini hakuna malalamiko
Kwa sasa ni mnyalu Iringa ni ya woteNa mimi kidogo nishangae,huyo kanda ya ziwa imembeba sana.
Mujahideen!Na wewe kumbe ni mdini?
Ngoja tuoneKanda ya ndio wanatoka viongozi wenye uchungu na hii nchi.
#MaendeleoHayanaChama
Ndo maana ninaipenda Tanzania. Kokote unaweza fanikiwa haijalishi umetoka sehemu ipi.Ukizingatia wahehe ni watani zake.Kwa sasa ni mnyalu Iringa ni ya wote
Wanakawia kushikana uchawi wenyewe kwa wenyewe basi.Natumaini hakuna malalamiko