hakubaliki ndgu yangu, yaani pombe atakuwemo kwenye historia ya waliogombea urais 2015 na kushindwa: lowasa atapata kura nying mno kanda ya ziwa kuluko pombe, ninapitapita katika mikoa ya mara, mwanza, shinyanga na geita kati ya watu 10 watu 8 wanasema hakuna kitu kitakachowazuia wasimpgie kura EL kwakuwa wanamwamin: sababu nyingine wanayotoa ni kwamba wamechoka na ccm kwahiyo magufli hatakuwa na jipya bali ccm ni ileile, kwahiyo wanachotaka ni mabadiliko tuuu nasiyo ukanda et uwafanye wampigie kura magufli: wakati watu wa kanda ya ziwa wanahayo kwa upande wa pili mikoa ya kaskazin hatusikii watu kutoka upinzan kwenda ccm bali wanatoka ccm kwenda chadema; hii inamaanisha kuwa magufl hatafikisha hata kura milion 1 katka mikoa ya kaskazin wakat Lowassa atapata mamilion ya kura sawasawa na idadi atakayo pata kanda ya ziwa achilia mbali mikoa ya mbeya, mtwara, iringa na kigoma:
Na katka mikoa ya singida, dodoma, Tabora na morogoro watatoka drooo kutokana na ukweli kwamba Lowassa apigiwa kura na baadhi ya wanaccm, wapinzani na wasiokuwa na vyma:
sasa ukitafakari na kuchunguza kwa kina utagundua kabisa kuwa Lowassa anawapiga kura zaidi ya milion 11.8 huku magufli akijipatia wapiga kura milion 7.5 ukiachilia mbali ya aslimia chache ya zile zitakazo haribika. Huu ndo ukweli bila ya kushabikia tuu