Kanda maalum ya ushirikina

Haaaaaaaaaa mkuu mshana Jr je bibi kalebwana ni mchawi au maana anawanyoa wachawi na wanamhofia sana
Anayenyoa na anayenyolewa wote ni waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba
 
umetumia application gan kueditt nzur sana aisee
 
Ni kweli kabisa mr; mshana. Mchawi ama mganga wa kweli hawapo kwenye mitandao yoyote ya kijamii.
Mr mshana naomba contact zako tuwasiliane ndugu yangu.
 
Ni kweli kabisa mr; mshana. Mchawi ama mganga wa kweli hawapo kwenye mitandao yoyote ya kijamii.
Mr mshana naomba contact zako tuwasiliane ndugu yangu.
Una uhakika na unachokisema?? Kua katika mitandao ya kijamii kunawezaje ku proove taaluma ya mganga na kazi yake
 
Huyo bibi anaitwa Kalembwana,hajawahi kuacha ila alifariki kwa sasa hiyo kazi ya kutoa uchawi anafanya mtoto wake.
 
Mganga wa kweli hana huo muda wa kukaa na kujitangaza ktk mitandao. Wala hutoweza kusikia habari zake mitandaon pia mganga wa kweli hata hii mitandao haijui. Hawa wa mitandaon ni wababaishaji tu ndo kama kina manyaunyau, feki nk. Hata hapa Jf kuna watu wanajitangaza kwamba wao ni waganga sijui nn hakuna lolote, wanaingia mitandaon kwajil ya kulaghai RAIA, unampigia simu mganga kumweleza shida yako then kisha anakupa bei za garama ya hiyo kaz, anakutajia garama kama mfamya biashara wa mtumba pale big brother anavyokupa bei ya jeans, kisha anakwambia nitumie hiyo ela kwa M-pesa! Wiz mtupu pesa mbele kama baamed wa bar!
 
mshana jr bana, unatoa vitu adim sana, unajua m nlikuaga cjui chochote juu ya haya mambo lakn umenfumbua macho, now naamin kuna watu wanaish kwa kutegemea uchawi. kitu nlichojfunza n kwamba mambo ya uchaw n iman ya mtu. mf mim siamin ktk uchaw na ushrkna nafanya maisha yang kwa iman kuwa mungu atanpa mkate wa kila cku na kunlinda. nmesoma kwa iman, nafanya biashara kwa iman na naamin kuwa mung ndo mkuu wa vyote. ila nna marafk ambao iman zao n bila kwend kwa mganga anaamn mambo yake hayawez kwenda sawa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Asante sana
 
Uelewa wako wa ulimwengu wa roho unautumia vibaya,spreading black magic agenda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…