Kanda maalum ya ushirikina

Morogoro Kuna kijiji wana mahakama ya wachawi inahukumu ukiloga,wazee wanakupima unakili kosa mwenyewe ....wenyewe wanasema mahakama ya kimila.
Hii ndyo moro bana waulizen watu wa sumbawanga wamesalit amri
 
Hivi mshana jr uchawi after 50 years utakuwepo??? Maaana kadri uelewa Wa sayans na ongezeko la uelewa na elimu nadhan uchaw hautakuwepi
 
Bila shaka unapatikana eneo linaloshabihiana na maeneo hayo,, kama sikosei ni Mamba, miamba! ',
 
Mkuu, vipi Kombe pia linawekwa kwenye mambo ya tibambadala?
 
Bibi Kalembwani!
 
Dah ni shida sana aisee iv hakuna namna ya kusimamisha hawa jamaa wanaleta umaskin
 
Haya mambo yapo tuu
Muhshimiwa Mshana jr jibu swali uliloulizwa tunambua kuwa haya mambo yapo lakini wewe unejuaje yote hayo hilo ndilo swali latu ikiwa nawe ni miongoni mwao ni vema ukatujuza hwenda kuna watu wanahitajia kujifunza ikawa hawajui waanzie wapi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Ibn Ayoub hii ni elimu kama elimu nyingine tuu..wachawi wa kweli hawako mitandaoni
 
Haaaaaaaaaa mkuu mshana Jr je bibi kalebwana ni mchawi au maana anawanyoa wachawi na wanamhofia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…