Kanambia nnamegewa mke.


Punguza hasira jamani,inaonekana imekukera sana.Mleta uzi ana thibitisha ule msemo kuwa dhambi moja huzaa nyingine,kosa afanye yeye la kukaribisha mchepuko halafu anamtafutia mke wake sababu kisa kaambiwa na mchepuko wake.Yani kosa la yeye kuchepuka limezaa kosa la yeye kutaka kumchunguza mke wake.

Kazi ipo na hizi ndoa aiseee
 
alianzaje kukuuliza habari za mkeo!na kwa nini msiongee mambo yenu!na wewe unakubari kumjadili mkeo na mwanamke!!
Upuuzi at its best hebu watu waheshimu viapo vya ndoa zao. Unaanzaje kwenda kumsema mkeo Facebook?Kweli shetani haendagi likizo.
 
Upuuzi at its best hebu watu waheshimu viapo vya ndoa zao. Unaanzaje kwenda kumsema mkeo Facebook?Kweli shetani haendagi likizo.
du mbona umeshambulia kama unaniambia mimi!
 
Mambo mengine yanakera sijui watu hukimbilia ndoa za nini wakati hawajamaliza shughuli zao za kuchepuka.
 
Anataka tu kumuharibia boss
 

She is looking for a way to win your love. Ila lisemwalo lipo kama halipo basi jua kuna walakinh kama sentensi yangu yakwanza inavyojieleza. Mchimbe akupe a lead ya uchunguzi wako kwa mkeo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…