alianzaje kukuuliza habari za mkeo!na kwa nini msiongee mambo yenu!na wewe unakubari kumjadili mkeo na mwanamke!!Aliniomba urafiki FB nikamkubalia tukaanza charting,
akaniuliza why mkeo anakuchunga hivyo nikamjibu sijui kwa kweli,
nikamwambia mi sina mchepuko bt sijui kwa nn haniamini,
akanijibu mwizi muda woye huhisi anaibiwa, nilipompeleleza hakunambia zaidi,
nimechanganyikiwa kwa kweli na sijui nifanyeje,
huyo dd anafanya kazi, na mrs wangu ndiye mkuu wake wa kazi,
ss sijui nifanyeje ili kupata ukweli.
kaolewa na already ana watoto wawil, sidhani kama anaweza fikiria
Mkuu kwanza kuolewa ndo nini.. wangapi wameolewa na wana cheat tena na waume za watu?!
Pili, kama kweli huyo dada kaolewa na akaoleka ilihusu nini yeye kutafuta urafiki na mume wa bosi wake tena aanze na ku discuss personal life ya bosi wake? Hana interest na wewe huyo? Inamhusu nini kama kweli mkeo anachepuka? Ya mumewe kayamaliza? Anataka promo tu huyo...
Hapo umenikumbusha Body Language....!!! Macho yanaumbua vibayamkomalie aliyekupa primary data akupe mwongozo wa kufanya fact finding investigation.
mwanamke ni mwepesi sana kukamatika kama anachit endapo utamaintain eye contact curiously.
fikiri kwanza kabla hujaanza upelelezi.