Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

Mkuu nakushauri kaitupie au kaupdate na kule wikipedia.. Maana historia ya mwanamapinduzi huyu sidhani kama ipo kwa kiswahili kule wikipedia..!
Nitaangalia hilo mkuu..
 
Huyu Ghdafi alikuwa na akili ya kuzaliwa!

Below 30 kuongoza Mapinduzi sio jambo la Mchezo Mchezo , Kizazi cha Google Miaka 30 bado yupo kwa Wazazi au ndio kapanga ghetto anamiliki sofa na kitanda tu na smartphone

Pamoja na karam(kipaji)
Mfalme Idris alikuwa Mzee dhaifu na walibya walisha mchokaa
W
 
Pamoja na karam(kipaji)
Mfalme Idris alikuwa Mzee dhaifu na walibya walisha mchokaa
W

Mbona znz CCM imechokwa na Seif Sharif anahangaika Miaka zaid ya 30 lakin kachemka?

Ku organism Mapinduzi na kuyafanikisha aya the age of 28 sio Jambo jepesi wala la Mchezo Mchezo !
 
Daaaaaaaaaa safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…