Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

Mkuu nakushauri kaitupie au kaupdate na kule wikipedia.. Maana historia ya mwanamapinduzi huyu sidhani kama ipo kwa kiswahili kule wikipedia..!
 
Mkuu tafadhali usinisahau kunitag
 
Hatokuja kutokea rais kama huyuu kwa kizazi hikii
kwa kufanya hv wakat wengne tumeshndwa kuvunja mikataba yaan hdi roho inaumaa naona wivuu sanaa

"Makampuni mengine yaliyosalia na yale ambayo
yalikuwa yanakusudia kwenda kufanya shughuli
za uchimbaji mafuta nchini Libya, zilipewa
sharti la 51% ya hisa zake kuwekwa chini
serikali ya Libya.
Hii ikapelekea kukua kwa pato la mwaka
kutoka dola bilioni 3.8 waliyoikuta mwaka 1969
mpaka kufikia dola bilioni 13.7 mwaka 1974 na
kupaa hadi dola bilioni 24.5 mwaka 1979."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…