Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

Gadaf alikuwa na maono sana,lakini kwa nini alimsaidia IDD Amini vita ya kagera hapa mtoa thread nisaidie na kwa busara baada ya kukamatwa Silaa zake na Tanzania ,aliomba samahani na kuhaidi kutusaidia mafuta .
 
mkuu The bold kesho ukiendelea utuelezee Ghaddaff aliwezaje kupona shambulio la ndege lililoua walinzi wake karibia wote siku ile anataka kutoroka nchi kitu kilichopelekea akajifiche ndani ya karavati alipokuja kukamatiwa!
 
Huyu Ghdafi alikuwa na akili ya kuzaliwa!

Below 30 kuongoza Mapinduzi sio jambo la Mchezo Mchezo , Kizazi cha Google Miaka 30 bado yupo kwa Wazazi au ndio kapanga ghetto anamiliki sofa na kitanda tu na smartphone
 
mkuu The bold kesho ukiendelea utuelezee Ghaddaff aliwezaje kupona shambulio la ndege lililoua walinzi wake karibia wote siku ile anataka kutoroka nchi kitu kilichopelekea akajifiche ndani ya karavati alipokuja kukamatiwa!
Bila shaka mkuu... Nitaeleza hilo... Itakuwa sehemu ya mwisho kabisa ya makala tukifika kwenye kifo chake
 
Tamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…